Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Upande mwingine zimetufelisha sana damchanga kidogo van persie mdogo(greenwood Mason) amekiwasha kwelkwlHizo damu changa ndy zimetufiksha hapa.
Kwa miaka yote.
Cavan ni Mzee na hajapata game time nyingi.
Lakini amefunga magoli Mengi kuliko rashford na martial.
Sasa ujana wao utasaidia nn?
