Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1629964815210.png
 
For United to succeed in building with the 4-2-3-1 as their primary structure, the fullbacks should be positioned deeper when facing a high-block. This will allow for the fullbacks to have progressive passing angles into the pivot players, which are not available in the 2-4.
1629964909718.png
 
a team that can’t get out of it’s own half can’t buildup, can’t progress and therefore can’t create.
Hii sentensi imebeba ujumbe mpana sana,hasa kwa sisi tunaojifanya kujua kwamba ushindi wa United unategemea zaidi wachezaji wameamkaje kuliko uwezo wa mwalimu kimbinu.

Sijawahi kuona Ole akiwa amefanya subs za beki zake kwamba wameshindwa kutekeleza jukumu flani kiulinzi au katika kushambulia hivyo anamtoa kumjaribu mtu mwingine.
Subs za Ole huwa zinajulikana tangu unaona kikosi chake cha kwanza.
 
Kwani ana kikosi cha kwanza?
 
Sijawahi kuona Ole akiwa amefanya subs za beki zake kwamba wameshindwa kutekeleza jukumu flani kiulinzi au katika kushambulia hivyo anamtoa kumjaribu mtu mwingine.
Subs za Ole huwa zinajulikana tangu unaona kikosi chake cha kwanza.
mahojiano ya juzi baada ya kumalizika kwa mechi anasema hajajua sababu ya msingi iliopelekea dakika 20 za mwisho timu kukosa mipango akiwa na maana
  1. hajui kama ni fitness
  2. hajui kama ni ishu ya tactics
  3. labda ni mabadiliko aliyoyafanya,fred alicheza ovyo lakini huyo aliyeingizwa baada ya fred ndio alizidi kutufanya tuwe ovyo
positive:
nahisi kama tumeimarika eneo la setpiece japokuwa bado ni mapema, tatizo lililopo ni kukosekana kwa mtu sahihi wa kutumia faida ya mipira ya kichwa
pogba, maguire, rashford, martial ni useless kwa mipira ya kichwa labda tumsubirie cavani
 
Hii inaweza ikawa bahati kwetu tukapata DM kabla dirisha halijafungwa.
ole ana tabia za uongo uongo pindi anapozungumza au labda tumpe sifa ya kuwa na tabia ya usiri.
nyakati zile tunamsajili ighalo kwa mkopo alikuwa anazungumza maneno kama yale aliyonukuliwa akiyazungumza kwa siku za karibuni.

"tumefanya usajili uliobora kwa msimu, najua soko la usajili lilivyo gumu hivyo sitegemei kama tutafanya biashara nyengine ila kama litakuja ingizo jengine litakuwa ni bonus"
 
timu yetu haiheshimiwi tena na vilabu vyengine ndio maana si ajabu tunateseka kwenye biashara ya kuuza na kununua mchezaji.

west ham wanaelekea kukamilisha usajili wa paundi millioni 25 kwa kurt zouma, kiupande wa pili wanaweka ngumu kulipa paundi millioni 25 kwa jesse lingard
 
mahojiano ya juzi baada ya kumalizika kwa mechi anasema hajajua sababu ya msingi iliopelekea dakika 20 za mwisho timu kukosa mipango akiwa na maana
  1. hajui kama ni fitness
  2. hajui kama ni ishu ya tactics
  3. labda ni mabadiliko aliyoyafanya,fred alicheza ovyo lakini huyo aliyeingizwa baada ya fred ndio alizidi kutufanya tuwe ovyo
positive:
nahisi kama tumeimarika eneo la setpiece japokuwa bado ni mapema, tatizo lililopo ni kukosekana kwa mtu sahihi wa kutumia faida ya mipira ya kichwa
pogba, maguire, rashford, martial ni useless kwa mipira ya kichwa labda tumsubirie cavani
Cavan na Varane kama atapenya kwenye kikosi cha kwanza.
Hata mimi nimeona improvement toka kwenye uzuiaji hadi ushambuliaji kwenye mipira iliyokufa.

Hapa ndipo unajiuliza ule mkataba wa chapchap aliopewa Ole miezi miwili iliyopita walikuwa wanaharakia kitu gani!
Nina uhakika Ole akitemwa na United hawezi kupata timu tena pale premier league,achilia mbali uwezekano kwamba timu pinzani ingevunja mkataba wake.
 
upo sahihi, njia pekee ni kurudi tena nyumbani kwao kujisuka upya
 
Back
Top Bottom