Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hoja hii siyo ya kweli tatizo linakuwepo kwa sababu Fred ni pure DM ambaye hana passing accuracy nzuri, Scot ni pure DM japo ana elements za CM (box to box) changamoto yao kubwa wote siyo creative halafu timu yetu ni offensive upande mmoja wa kushoto kwa sababu kulia hatuna wachezaji wazuri kuanzia fullback na wings.Vipi kuhusu hii hoja kwamba wanapocheza DM wawili wanapunguza nguvu yetu offensively?
Tusisahau pia na poor coaching inachangia sana timu yetu kuwa vulnerable kwa timu zingine.Vipi kuhusu hii hoja kwamba wanapocheza DM wawili wanapunguza nguvu yetu offensively?
Waendelee kutuhangaisha ivyo ivyoManchester United are closing in on a £77m deal for Jadon Sancho [@RobDawsonESPN]
Sancho ni mkali tena wenda akaizidi pili pili, tatizo lake kwangu ni uraia wake.Aliuzwa akiwa bado mtoto sana..mtoto mwenye miaka 16/17 anaweza asionyeshe uwezo wake wote kwa muda huo..
Mbona Salah aliuzwa na Mourinho na amekuja kuwa moto?..mifano ipo mingi.
Tumkatae Sancho kwa ishu nyingine lakini sio uwezo wake.
Wanaotamani Pogba auzwe siwaelewi wameshiba nini?Center midfielder wa sifa unayemtaka tayari yupo Paul Pogba
Alie kuambia tunagombea Carabao amekutapeli.Nyie hata msajiki malaika kutoka mbinguni +messi + ronaldo ..
Kwa kocha kama ole ,hamna uwezo hata wa kuchukua carabao cup![]()
Sasa nyie mnauwezo wa kuchukua nini tena ??Alie kuambia tunagombea Carabao amekutapeli.
Chelsea wamewapelekea moto wewe na kiparangoto wako mmebaki kuleta maneno ya kwenye kanga..Sasa nyie mnauwezo wa kuchukua nini tena ??
Kwa kikosi chenu cha kina mashoo ,rashford ,pogbaa ,penandez ..
Mnafikiki mnaweza kuchukua kikombe gani hasa ..
Uefa big no
Europa, hamna uwezo
Epl ,hamna pumzi ya kupandisha mlima wa game 38
Fa , hili kombe hamliwezi labisa
Carabao ...hili kombe hata mchezi na machester city B hamna uwezo wa kichukua ....
Sasa hii man utd ya sasa mnaweza kuchukua nini ,labda sahani za shishi food ....!
ile game kila mtu aliona ,the best team lose against weak team ..Chelsea wamewapelekea moto wewe na kiparangoto wako mmebaki kuleta maneno ya kwenye kanga..
Hovyo sana.
Ila wamewafunga mara tatu mfululizo sasa sijui kipimo ni kuhodhi mpira au kucheka na nyavu?ile game kila mtu aliona ,the best team lose against weak team ..
Chelsea ni underdog tu mbele ya city ,hio haipingiki ...