Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PAU-tor Lindelof
KOUNDE-lof

Who? View attachment 1818962
Haya ni maajabu mengine kuhusu wachezaji wa man utd wakiwa na timu zao za taifa.
Kuna Pogba na huyu lindelof.
Kila tunapojaribu kuwaapuza tuingie sokoni,wanaibuka mashujaa kwa mataifa yao!
1. Tatizo ni maguire au lindelof?
2. tatizo ni muunganiko wa maguire na lindelof?
3. Tatizo ni la mbinu za kiufundi za mwalimu wao katika klabu?
Kwa mfano Joe Glazer angsema angalie hii mechi kabla hajafanya maamuzi aidha ampe Ole mpunga atafute msaidizi wa Maguire au aendelee na Lindelof kama partner wa Maguire,angekosa imani na uwezo wa Ole.
 
Atlético Madrid turned down an opening proposal from Manchester United for Kieran Trippier. Price tag still around €40m to sell the right back. Flag of England #MUFC #Atletic
============
jamani hii habari muliwahi kuipata, timu iliofanya uchunguzi wa takribani mabeki 800 wenye uwezo wa kucheza upande wa kulia miaka miwili iliopita, leo hii inatafuta tena mlinzi wa kulia
😀😀😀

Mwanzoni nilijua ni mizaha ya kwenye mitandao tu
 
Nilikuwa sehemu ya ule mjadala wa kijinga na nilikuwa sehemu ya wanafiki (siku nitamsifu romelu, siku nitamtukana romelu),
tuliaminishwa mfumo wa Ole unamhitaji mshambuliaji anayeweza kutokea pembeni na ili uwe na uwezo wa kutokea pembeni unatakiwa uwe na speed, miguso ya uhakika ya mpira (first touch), umiliki wa uhakika wa mpira (ball control).

romelu japokuwa sikuongezei chochote kwenye maisha yako ila bado nitakuomba msamaha.
Mwisho wa siku Ole ndo anaeonekana hajui anachofanya.

Unauza Lukaku unaleta Ighalo anaishia kukaa benchi. Unamleta tena Cavan anafanya kile Lukaku angefanya.
 
ok namuondoa lukaku kwa madhaifu haya namleta mchezaji mfano wa ronaldo de lima au rooney
hapo ndio umesolve tatizo
 
negotiators wetu wana tatizo gani, kama tulishindwa kushusha bei ya maguire na wan bissaka tutaweza kwa sancho.

unauziwa wan bissaka paundi millioni 50
#mufc have had a £67m offer for Jadon Sancho, rejected by Borussia Dortmund, who have set the forward’s price at £77.5m.
 
tamaduni yetu ni ipi?
Nadhani Ole atakuwa anaijua zaidi maana kila siku anatafuta wachezaji wenye DNA za manchester.
Nafikiri ni kutafuta wachezaji wa kariba ya rooney,scholes,giggs,n.k.
Mfumo wa kiuchezaji wa timu unaotegemea zaidi winga kufanya mashambulizi
Pasi chache ndefu kufika langoni mwa adui.
Home grown talents.
 
negotiators wetu wana tatizo gani, kama tulishindwa kushusha bei ya maguire na wan bissaka tutaweza kwa sancho.

unauziwa wan bissaka paundi millioni 50
#mufc have had a £67m offer for Jadon Sancho, rejected by Borussia Dortmund, who have set the forward’s price at £77.5m.
Nadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.
 
Nadhani Ole atakuwa anaijua zaidi maana kila siku anatafuta wachezaji wenye DNA za manchester.
Nafikiri ni kutafuta wachezaji wa kariba ya rooney,scholes,giggs,n.k.
kama watakuwa wote ni mfano wa hao uliowataja basi si vibaya, ila kama watakuwa na uwezo huu tulioushuhudia kwa wachezaji mfano wa wes brown, john oshea, gibson, cleverley tutakuwa tunakosea sana kwa sababu takribani timu zote kubwa kwa sasa zinajidhati au kujihakikishia wanakuwa na kundi bora la wachezaji.

DNA isiwe sababu ya kuwa na midfield tegemeo anayeitwa scott mctominay huku tukimuacha mchezaji kama ruben neves acheze timu pinzani
DNA ya manchester united inatengenezeka wala haiji kwa kuzaliwa tu
 
Nadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.
basi wawape hela yao na dili litangazwe
kuhusu plan B anazungumzia coman wa bayern munich mwenye thamani ya paundi miillion 50 lakini benchi linataka kuhakikisha jadon anarudi nyumbani
 
negotiators wetu wana tatizo gani, kama tulishindwa kushusha bei ya maguire na wan bissaka tutaweza kwa sancho.

unauziwa wan bissaka paundi millioni 50
#mufc have had a £67m offer for Jadon Sancho, rejected by Borussia Dortmund, who have set the forward’s price at £77.5m.
Nadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.
 
Mfumo wa kiuchezaji wa timu unaotegemea zaidi winga kufanya mashambulizi
Pasi chache ndefu kufika langoni mwa adui.
mchezo wa mpira wa miguu unabadilika, now tumehamia kwenye ulimwengu wa kutegemea zaidi mfumo na si kipaji cha mchezaji mmoja mmoja.
tactics ndio zimuongoze mwenye kipaji chake
guardiola aliwahi kumtoa nje thieryy henry licha ya kufunga goli kwa sababu alikwenda position isio muhusu na kufunga goli
=============
kuna timu zitatusumbua sana kama tutaendelea kukariri simple football anayoita mzee marcelo bielsa (leeds, leicester, liverpool, man city, arsenal)

tunapata matokeo lakini bado khofu inakuwepo

kama watakuwa wote ni mfano wa hao uliowataja basi si vibaya, ila kama watakuwa na uwezo huu tulioushuhudia kwa wachezaji mfano wa wes brown, john oshea, gibson, cleverley tutakuwa tunakosea sana kwa sababu takribani timu zote kubwa kwa sasa zinajidhati au kujihakikishia wanakuwa na kundi bora la wachezaji.

DNA isiwe sababu ya kuwa na midfield tegemeo anayeitwa scott mctominay huku tukimuacha mchezaji kama ruben neves acheze timu pinzani
DNA ya manchester united inatengenezeka wala haiji kwa kuzaliwa tu
Fikiria katika kuzunguka kote kwa option 804 za right back,hiyo DNA ikaonekana ndani ya Aaron wan bisaka!
maguire na daniel james pia walibahatika kukutwa na DNA zetu.
Leo hii tetesi zinazoihusu united zimemzunguka rice,sancho na trippier. Mkuu hii ndio tunaita DNA kwa lugha nyepesi.
 
Back
Top Bottom