Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa nyie mnauwezo wa kuchukua nini tena ??

Kwa kikosi chenu cha kina mashoo ,rashford ,pogbaa ,penandez ..

Mnafikiki mnaweza kuchukua kikombe gani hasa ..

Uefa big no

Europa, hamna uwezo

Epl ,hamna pumzi ya kupandisha mlima wa game 38

Fa , hili kombe hamliwezi labisa

Carabao ...hili kombe hata mchezi na machester city B hamna uwezo wa kichukua ....

Sasa hii man utd ya sasa mnaweza kuchukua nini ,labda sahani za shishi food ....!
Kama hujawahi kuchukua UCL huna hadhi ya kuongea na mabingwa mara 3 wa michuano hiyo.
kati ya taka taka ulizo zitaja hapo hakuna nisiyo chukua, labda hiyo taka taka Carabao!

Huyo baasha wako alie kufunga final, sisi tulimchezeshea kichapo 2008 na tukatwaa huo upuuzi wenyewe.

kiufupi huna cha kuniambia nikakuelewa.
 
Wewe mbwa tu,kombe lenu la uefa ndio hilii eeeh

Kilaza kama wewe sina muda wa kubishana ,hizo historia manzotembelea za miaka ya 90 ,mtakuja kufaaaa
,...

JamiiForums1596334016.jpg
 
Huyu Paulo Pogba akicheza timu ya taifa aise utaweza Sema ni binge la mchezaji maana atakichafua hapo kati kwa msaada wa King Ngolo Kante ..ila akija kwenye huu utopolo sasa yani mnaeza juta kumjua. Kwa ufupi Ole hawezi mtumia pogba kabisa.
 
Kuna kitu unatakiwa kujua kuwa kuna manager na makocha, mtu kama ole mimi huwa naona kama ni manager hawez kumcoach mchezaji akawa hatari sana ndiyo maana unamuona pogba akiwa united haperfom kama akiwa timu ya taifa. Ila mchukuwe huyu pogba wa united mpe klop utajua hujui
 
Wewe kilaza endelea kuchimba chumvi ,unaibuka kama msukule from no where ,league imeshaisha unapayuka kama umeingiziwa ukuni
Kuchimba chumvi!
Chupi wee, chumvi haichimbwi, kama huna elimu juu ya upatikanaji wa chumvi Muulize Mmwela wa Mnazi mmoja.
 
hahaha maana unapoteaga poteaga na kuibuka kama hiv leo umeibuk ndo maana wakulungwa wanauliza Kama una khabari zozote kuhusu soccer unafahamu.?
Siunajua maisha ni kama chupi la mtumba!… kuna siku unaweza kuichagua inayo kutosha…siku nyingine unaichagua ya kuivaa papaa wemba.

Yani kama ninja mweusi tu, mara naonekana mara nimepotea, mpaka kieleweke.
 
Official: #mufc will face Leeds United on the opening day of the 2021/22 Premier League season #mulive

August 14: Leeds (H)
August 21: Southampton (A)
August 28: Wolves (A)​
 
Kuna kitu unatakiwa kujua kuwa kuna manager na makocha, mtu kama ole mimi huwa naona kama ni manager hawez kumcoach mchezaji akawa hatari sana ndiyo maana unamuona pogba akiwa united haperfom kama akiwa timu ya taifa. Ila mchukuwe huyu pogba wa united mpe klop utajua hujui
Kwa hiyo team ya taifa huwa wananoa wachezaji?
Wabongo tunashida gani eti, mtu unatanguliza chuki mbele bila msingi.
Kabla ya Ole pogba alikuwa ana maajabu pale man U?
 
Back
Top Bottom