Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazungu wanapambana sn, nilikuwa na matumaini kdg cz nilikumbuka issue ya Patrice Muamba.
Yaah akiwa bolton..ishu yake watu walidhani tayari kashadead..ila mwamba aliamka.

Sema pia health system za wenzetu ziko poa sana..wana hadi maECG uwanjani..hapa bongo aisee tusiombee mchezaji apatwe na ishu kama ile.
 
Rashford kafika mwisho wa uwezo wake.
Greenwood ana record kubwa kuliko yeye na amepewa game time chache kuliko rashford..
Na atazidi kung'aa hapo baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford ni wale wachezaji ambao mechi za muhimu analeta ubrazameni.

Siku mnayotaka ushindi kwa hali na mali yeye ndo analeta kulamba midomo.
 
Yaah akiwa bolton..ishu yake watu walidhani tayari kashadead..ila mwamba aliamka.

Sema pia health system za wenzetu ziko poa sana..wana hadi maECG uwanjani..hapa bongo aisee tusiombee mchezaji apatwe na ishu kama ile.
Umesahau yule dogo alikufa uwanjani hapa bongo

Halafu wasafi insta wakatangaza amekufa
 
First XI hapo hawazidi wa tano. Pogba, Rashid, Pernandez, mctommary labda na De Gea ..hao wengine wanaitwaga kujaza nafasi zilizoachwa wazi

Ukienda kwa Chelsea Sasa ..Mount Ndani, Chilwell ndani, James ndani, Silva ndani, Pulisic ndani, Jorgihno ndani, Gilmore ndani, Kai, Rudger na Werner wote ndani hehehe bado Nani mwingine .. Mendy ndani, Giroud, Kante ndani, hehehe sisi hatunaga bench wormer na Kama wapo ni wachache Sana hehehe This is Chelsea.
#CFC

We jamaa naona leo umeamka na hii mbinu kuwakera
 
Walisema hajui kutuliza mpira na ni mzito uwanjani.
Nilikuwa sehemu ya ule mjadala wa kijinga na nilikuwa sehemu ya wanafiki (siku nitamsifu romelu, siku nitamtukana romelu),
tuliaminishwa mfumo wa Ole unamhitaji mshambuliaji anayeweza kutokea pembeni na ili uwe na uwezo wa kutokea pembeni unatakiwa uwe na speed, miguso ya uhakika ya mpira (first touch), umiliki wa uhakika wa mpira (ball control).

romelu japokuwa sikuongezei chochote kwenye maisha yako ila bado nitakuomba msamaha.
 
Wote tulikuwa kundi moja kuna siku Lukaku tulikuwa tunamtupia lawama sana na tunawaacha Rashford na Martial.......ila alikuwa mchezaji mzuri na ajabu mpaka sahizi ile ela ya Lukaku haijasajili mrithi wake (ighalo na Cavani hawajatumia hata asilimia 20 ya ile pesa ya kuuzwa lukaku)
 
cha kushangaza romelu ameondoka na hakuna badiliko lolote la kimfumo,
mimi sijaliona badiliko ila kama yupo aliyelishuhudia basi atwambie

najua kuna watu watamtumia greenwood kama ni reference yao
 
Back
Top Bottom