Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#mufc are to install new floodlights at both Old Trafford and Carrington as part of an £11m schedule of works this summer. The home and away dressing-rooms will also be renovated and a Covid-secure digital access and ticketing system will be rolled out #mulive [@MikeKeegan_DM]
 
At the moment there is nothing advanced between Kieran Trippier and #mufc. Trippier is very comfortable at Atlético Madrid. We'll see if #mufc will go after him with the right offer. [@MatteMoretto]
 
Sio wa kucheza timu kubwa umetumia kigezo gani mkuu? Sancho kwa sasa kwa upande wa kulia hana mpinzani stats zinazungumza.
Kwa tm anayocheza ni sawa cz haina presha yeyote lkn co kwa man Utd, mbn wachezaji wa namna hiyo wanajulikana mkuu.
 
Kipindi Bruno anacheza Lisbon huko walikuwa na pressure gani?..mbona amekuja united na amedeliver?..

Sancho ni mtu,tuache siasa..stats zake zinaongea
Bruno hata angekuwa Simba km unajua unajua tu, wachezaji classic huwa wanajulikana tm yyte wanayocheza, huyo Sancho aliuzwa pale City akapelekwa tm ndogo.
 
Bruno hata angekuwa Simba km unajua unajua tu, wachezaji classic huwa wanajulikana tm yyte wanayocheza, huyo Sancho aliuzwa pale City akapelekwa tm ndogo.
Aliuzwa akiwa bado mtoto sana..mtoto mwenye miaka 16/17 anaweza asionyeshe uwezo wake wote kwa muda huo..

Mbona Salah aliuzwa na Mourinho na amekuja kuwa moto?..mifano ipo mingi.

Tumkatae Sancho kwa ishu nyingine lakini sio uwezo wake.
 
Shida ni hawa wachezaji wa Kiingereza wanaolelewa Kistar..kuna watu wanapiga kazi mbona fresh tu,inabidi tutumie umakini kuwaona.. Watu kama Phil Foden,Mason Mount,Kane displine yao kwenye mchezo ni ya tofauti kabisa.

Kuwa Muingereza sio tatizo..Scholes,Rooney,Ferdinand,Carrick hawa wote Waingereza
Waingereza bado sana.

Ni wachezaji wanafika level hawapigi hatua tena kwenda mbele. Na kuwauza ni shughuli pevu.

Kumleta Kane bora upambane aje Haaland. Unadhani Maguire ana thamani ya 80M tuliotoa? Au Sancho ana hiyo thamani?

Ole hapati challenge na magazeti ya UK kwasababu amewakumbatia hawa watu.
 
Aliuzwa akiwa bado mtoto sana..mtoto mwenye miaka 16/17 anaweza asionyeshe uwezo wake wote kwa muda huo..

Mbona Salah aliuzwa na Mourinho na amekuja kuwa moto?..mifano ipo mingi.

Tumkatae Sancho kwa ishu nyingine lakini sio uwezo wake.
Sawa.
 
Jombaa, Waingereza ni wachezaji wanaokuzwa mno usiwaamini. Mimi ni moja kati ya mtu ninaopinga sana usajili wa wachezaji wa kiingereza based on observations kuna kipindi nilichowahi kuandika hapa huwa wanakuwa-evaluated kwa vipindi vifupi ktk career zao.

Kwa soka la sasa, Usiniulize nimetumia kanuni gani ila ukiwa na wachezaji wa kiingereza zaidi ya wanne kikosi cha kwanza ktk timu yako yaani ni lazima waanze panga pangua huwezi kushinda taji lolote lile kubwa. Hawana vipaji.

Waingereza tuwapate kwa njia ya kuwapandisha kupitia timu za watoto kama Marcus Rashford na Mason Greenwwood ila sio kupoteza pesa kuwanunua. Nikiona taarifa za Sancho Sky Sports wanavyoaandika upupu kumpamba moyo wangu unanung'unika sana jinsi vyombo vya habari vya kiingereza vinavyotumia platform kutangaza wachezaji wa kiingereza average kila siku.
Una observation kama yangu.

Ole akitaka kubeba kombe, aachane na lundo la wachezaji wa kingereza.
 
Waingereza bado sana.

Ni wachezaji wanafika level hawapigi hatua tena kwenda mbele. Na kuwauza ni shughuli pevu.

Kumleta Kane bora upambane aje Haaland. Unadhani Maguire ana thamani ya 80M tuliotoa? Au Sancho ana hiyo thamani?

Ole hapati challenge na magazeti ya UK kwasababu amewakumbatia hawa watu.
Yeah Haaland mtu co hawa kina Sancho cjui rashford upumbavu mtupu.
 
Hivi Pogba akigoma kuongeza mkataba ina maana msimu ujao ataondoka bure sio?.

Tukimwingiza sokoni tutavuta kama kiasi gani hivi?..sidhani hata itazidi £30m.

Frankly speaking akiuzwa wala sitaumia..replacement yake tunaweza kutafuta kiungo mwenye kasi,anayeweza kukaba pia na ambaye offensive yuko poa na mwenye skills.
Hiki kimekuwa kilio changu ha muda mrefu sana kuhusu pogba.
Aondoke tusajili upya!
 
Jombaa, Waingereza ni wachezaji wanaokuzwa mno usiwaamini. Mimi ni moja kati ya mtu ninaopinga sana usajili wa wachezaji wa kiingereza based on observations kuna kipindi nilichowahi kuandika hapa huwa wanakuwa-evaluated kwa vipindi vifupi ktk career zao.

Kwa soka la sasa, Usiniulize nimetumia kanuni gani ila ukiwa na wachezaji wa kiingereza zaidi ya wanne kikosi cha kwanza ktk timu yako yaani ni lazima waanze panga pangua huwezi kushinda taji lolote lile kubwa. Hawana vipaji.

Waingereza tuwapate kwa njia ya kuwapandisha kupitia timu za watoto kama Marcus Rashford na Mason Greenwwood ila sio kupoteza pesa kuwanunua. Nikiona taarifa za Sancho Sky Sports wanavyoaandika upupu kumpamba moyo wangu unanung'unika sana jinsi vyombo vya habari vya kiingereza vinavyotumia platform kutangaza wachezaji wa kiingereza average kila siku.
Hiyo lazima waanze ndio tatizo kubwa la wachezaji wa kiingereza,hata kama kiwango kimeshuka.
Angalia mfano wa rashford tunaambiwa anacheza na majeruhi utadhani yeye ndio wa muhimu timu nzima,mbaya zaidi mfanya maamuzi ni ole.
 
KDB

PL winner

Carabao winner

CL final ...

Bruno ???????

Kaisaidia nini man united

KDB deserved
Kama issue ni mataji nikukumbushe tu kuwa wakati Virgil Van Dijk anachukuwa hiyo tuzo 2019, Man City walichukuwa domestic treble msimu huo. Yaani EPL, FA Cup na Carabao Cup isitoshe walifika robo fainali katika UCL wakati Van Dijk alipata Champions League pekee. Unataka kusemaje hapo?
NB: Nadhani Harry Kane na Ilkay Gündogan walistahili zaidi hii tuzo mbele ya KDB.
 
Hiyo lazima waanze ndio tatizo kubwa la wachezaji wa kiingereza,hata kama kiwango kimeshuka.
Angalia mfano wa rashford tunaambiwa anacheza na majeruhi utadhani yeye ndio wa muhimu timu nzima,mbaya zaidi mfanya maamuzi ni ole.
Hapo ndipo huwa wananichosha utasikia "Mashetani hao wekundu wanaenda kukipiga na... bila ya huduma ya mchezaji wao nyota Rashford" huwa najiuliza hivi tm yetu imefikia hatua Rashford ni mchezaji wa kutumainiwa!!!!
 
Back
Top Bottom