Manchester United (Red Devils) | Special Thread

cha kushangaza romelu ameondoka na hakuna badiliko lolote la kimfumo,
mimi sijaliona badiliko ila kama yupo aliyelishuhudia basi atwambie

najua kuna watu watamtumia greenwood kama ni reference yao
Ni kawaida mtu kushindwa kuperform sehemu hii akafanikiwa kule.......
lukaku wa man U alikuwa anakera, ni nani alikuwa anaweza kumtetea lukaku wa man U, hata kutuliza mpira ilikuwa tabu lilikuwa bonge kama kiboko.
 
Bora wewe umeongea mkuu, nani asiyejua hayo uliyosema humu? Ni kawaida sn kwenye soka average players kushindwa pressure ya tm kubwa mfano wa Utd, huyo Lukaku wanaosema tumekosea kumuuza eti kwa sababu jana kafanya vizuri tm ya taifa alikuwa anafanya vizuri pia national team since yuko man u lkn akirudi OT mimavi mitupu, yani sijuti kabisa kumuondoa Lukaku kikosini.
 
Mtu ambaye msimu wake wa mwisho alikuwa na goals 12 na 0 assist kwenye michezo 32 sio wa kumlilia hivi.
Hizo namba ni ndogo sana ukilinganisha na martial msimu uliopita na cavani msimu huu.
Lukaku ni tatizo lile lile lilopo man U, hatuna forwad tishio ( labda Cavan angekuwa bado kama yule wa Napoli)

Screenshot_20210613-194754_Chrome.jpg
 
Mtu ambaye msimu wake wa mwisho alikuwa na goals 12 na 0 assist kwenye michezo 32 sio wa kumlilia hivi.
Hizo namba ni ndogo sana ukilinganisha na martial msimu uliopita na cavani msimu huu.
Lukaku ni tatizo lile lile lilopo man U, hatuna forwad tishio ( labda Cavan angekuwa bado kama yule wa Napoli)

View attachment 1817690
Nimeshangaa sana kuona mtu km Daemusin anaongea vile, amenishangaza sn kwa kweli.
 
Huu Utopolo mnajadili Kila siku ni wa Nini..???
Ingefaa Mods wafute huu Uzi maana mnajadili timu ambayo inazidi kuendeleza kwenda nyuma.. aaagh mnatia hasira Sana. Pumbavu!!!

#CFC
 
Uko sawa Mkuu nilidhani STERLING amemzidi kitakwimu RASHFORD kumbe la HASHA.

Sterling 20/21 (Mashindano yote)

Mechi = 46 (13 goals + 8 assists = 21)
-------------------------------------------------------------------
Rashford 20/21 (Mashindano yote)

Mechi = 54 ( 20 goals + 10 assists = 30)

Rashford bado yuko vizuri aisee, akiacha ule utoto + ubinafsi uwanjani atakuwa na manufaa zaidi.
Rashford akipunguza over confidence na ubinafsi ni clinical golini kuliko wachezaji wengi sana pale EPL.

Changamoto ni utoto mwingi tu
 
Kalvin Phillips vs McTominay

What your thought?

Personally Phillips ananokosha sana.
 
Kalvin Phillips vs McTominay

What your thought?

Personally Phillips ananokosha sana.
Kuna kipindi wakati tunahangaika na McFred niligusia kuhusu huyu dogo.
Ila scouting team ya united inashangaza sana. Imagine tunasubiri Phillips achukuliwe na team kubwa,tukamgomboe kwa pesa ndefu.
 
Kwani Philips ni Mkongoman ?

Wenzetu si hamtaki waingereza ?
Mkuu PTER tutake tusitake,kwa sasa team kubwa pekee pale uingereza inayokumbatia wachezaji wazawa kwa kiasi kikubwa ni man utd na matokeo yake tunayaona. Kwa kuwa tumeamua kwenda kwa staili hiyo,ni bora tukachagua wenye ubora mkubwa kuliko kuangalia kigezo cha uzawa zaidi.
Binafsi simkubali Rice kama suluhu ya matatizo yetu sehemu ya kiungo ingawa kabla ya mechi ya jana alikuwa anapigiwa sana chapuo la kuja united. Phillips niliwahi kumsemea baada tu ya kumuona ligi kuu.
 
Phillips ana maajabu gani kumzidi Scott ?
 
Kwa namna ninavyoufahamu mpira,binafsi navutiwa zaidi na Phillips zaidi ya Scott.
Ila nisimalize maneno yote;Phillips anafundishwa na Bielsa wakati Scott yuko chini ya Solksjaer. Hii inawezakuwa sababu ya tofauti zao kiuchezaji.
Phillips hana maajabu ya kumzidi Scott timu yetu ina poor coaching ambacho ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo yetu.

Ukiangalia timu yetu wachezaji wa defence ndiyo wanafanya touches nyingi uwanjani kuliko front three yetu kwa sababu front three yetu haiwajibiki kuretain possession ya mpira at the same time haiwajibiki kukaba kurejesha mpira kwenye timu.

Wale jamaa huwa wanaonekana pale wanapofunga goli au wanapotoa boko ukiangalia magoli mengi tunafungwa baada ya kunyang'anywa mpira kizembe kwa kina Pogba ,Rashford etc.

Wale McFred wanapambana sana kutuhami kwa sababu timu yetu hairetain mpira muda wote wako kwenye harakati wao tu.

Kwenye timu ya Scotland Scot alicheza centre Back mwanzo wa mashindano mpaka mwisho na wakafuzu kucheza Euro.
 
Kiongozi nimekuelewa.
Turudi kwenye tetesi za usajili wa Rice,unahisi litaivunja Mc Fred kwa kucheza kama sole DM au wanakuja kumkaanga Fred na kutengeneza partnership mpya pamoja na Scott?
 
Declan Rice hawezi kuvunja hiyo partnership ni mchezaji wa kawaida na hana nguvu kama wanavyocheza wale viumbe.

Wale wataendelea kuwa chaguo la Ole kwenye big games kwasababu ya discipline yao wanapopewa majukumu wanatekeleza to the maximum.

Midfielder wa kingereza wengi huwa wanacheza square pass nyingi kuliko foward passing nafikiri ni wanafundishwa hivyo kwenye academy zao kupeleka mpira kwenye safe spaces badala ya foward passing.

Mwangalie Jodar Henderson wa Liverpool.

Mwangalie Eric Dier wa Totenham.

Mwangalie Jo Allen wa Liverpool.

Mwangalie Scott wa man United.

Declan Rice wa Westham

Wote wanacheza style moja wanachotofautiana kuna wengine wanaquality za box to box lakini ni DM.

Wakifanya ball recovery ni rare kupiga foward pass either wanarudisha back pass au wanapiga side pass kwa fullback aliye deep.

Na wote wanacheza deep sana kiasi cha kutengeneza 3 defenders hata kama fullback hawaja advance.

Kwangu mimi sioni kama tutatua tatizo letu la DM kwa njia ya kumnunua Rice tu.

United mapungufu yetu makubwa ni kwenye offensive tunahitaji Right wing na striker mmoja.
 
Vipi kuhusu hii hoja kwamba wanapocheza DM wawili wanapunguza nguvu yetu offensively?
 
Back
Top Bottom