Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwezi jua pengine angekuwa wa moto zaidi.

Mimi pia najua Rashford ana mapungufu mengi sana uwanjani lakini ukitumia graph ya takwimu atakuumbua. Kwa sababu takwimu zake kila msimu zinapanda.

Hebu kaangalie Ronaldo wakati ana 22 years kama Rashford alikuwa na magoli mangapi ?

Kutumia takwimu kumchambua Rashford hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake ni nzuri kuliko mchezaji mwingine yoyote wa united post Ferguson era.

Sana sana tuishie kwenye kuangalia mapungufu yake uwanjani tu.
Mkuu wakati kipindi Ronaldo ana miaka 22 alikuwa timamu sana kuliko rashford.
Rashford ana utoto mwingi sn.
Ubinafsi sn.
Na takwimu zake zinaongezewa na ulegelege wa beki za kipindi cha sasa.

Sidhani kama ingekuwa msimu wa beki akina vidic zile za kula mavi kama angefika hata goli 5..
 
Ndio maana sijataka kuingilia kabisa huo mjadala bora umekuja nisaidia.....
 
United wapigane kumpata Harry Kane, Sancho na Beki wa kulia tu ubingwa utakuwa wetu msimu ujao.
Waongeze na centre midifilder Mwenye utimamu wa mwili na akili aina ya Carrick,,
Mwenye uwezo wa kuhamisha mpira upande mmoja kwenda wa pili,,
,,mambo ya kuwachezesha sunche na kapeto pamoja ni udhaifu mkubwa sn.
Pia ni kama tunawachosha akina Bruno.

Inapaswa attacking iwe more kuliko 2 defensive medefilders.
 
Ndio maana sijataka kuingilia kabisa huo mjadala bora umekuja nisaidia.....
Now mabeki wapo soft sana.
Tatizo la rashford kiwango kimegoma kuendelea.
Kinakwenda mbele na.kurudi nyuma.
Hana maajabu tena,pamoja na kufunga.
Tofauti kabisa na sancho
 
Mkuu wakati kipindi Ronaldo ana miaka 22 alikuwa timamu sana kuliko rashford.
Rashford ana utoto mwingi sn.
Ubinafsi sn.
Na takwimu zake zinaongezewa na ulegelege wa beki za kipindi cha sasa.

Sidhani kama ingekuwa msimu wa beki akina vidic zile za kula mavi kama angefika hata goli 5..
Unatumia wishful thinking jaribu kuleta takwimu za Ronaldo akiwa 22 years na za Rashford akiwa 22 years.

Kumtathmin Rashford kwa takwimu hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake zinambeba sana kwa umri wake.

Wayne Rooney na Rashford katika umri alionao Rashford walikuwa na takwimu sawa tu na alizonazo Rashford kwa sasa. NB sisemi kuwa Rashford ana ubora sawa na hao viumbe hapana ila ukitumia takwimu analingana nao katika umri sawa.

Tuangalie mapungufu ya Rashford kwa mzani tofauti na siyo takwimu.
 
Waongeze na centre midifilder Mwenye utimamu wa mwili na akili aina ya Carrick,,
Mwenye uwezo wa kuhamisha mpira upande mmoja kwenda wa pili,,
,,mambo ya kuwachezesha sunche na kapeto pamoja ni udhaifu mkubwa sn.
Pia ni kama tunawachosha akina Bruno.

Inapaswa attacking iwe more kuliko 2 defensive medefilders.
Center midfielder wa sifa unayemtaka tayari yupo Paul Pogba
 
✓Kane/Haalland

✓Sancho

✓RB

✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.

Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
 
IMG-20210608-WA0009.jpg
 
✓Kane/Haalland

✓Sancho

✓RB

✓DM mmaalizaji..hii McFred inachosha sasa.

Tukisajili hao kikosi chetu kinakuwa ni cha kubeba EPL,na UCL vilevile..kazi inabaki kwa Ole
Nyie hata msajiki malaika kutoka mbinguni +messi + ronaldo ..

Kwa kocha kama ole ,hamna uwezo hata wa kuchukua carabao cup
 
Sancho anakaribia kutua baada ya kumpata natamani kuona tunasajili wachezaji wengine watatu centre back right back na defensive mido
Mkuu umesahau ndani ya muda mfupi hivi? United hii tetesi ita trend hadi mwisho wa msimu ndio sancho apatikane au asipatikane kwa sababu za hovyo kisha tunatafuta wa kutulizia mzuka wa mashabiki.
Summer iinakuwa imenapita.
 
Back
Top Bottom