Nafasi ya kuchukua ubingwa ilikua wazi kabisa ila kilichotokea sasa mpaka nimebaki mdomo wazi ingekua huku kwetu lazima watu wangehusisha na ushirikina....Hapa[emoji116][emoji116] ndipo panapomzingua @ze-duduHii [emoji3516][emoji3516] statement ya kiboya sn hii mkuu.
Kafikiria kuwatoa halafu na hapo hapo kafikiria wangepata goli.....kwa majibu haya huyu ni pure mbahatishaji kabisa tena hajui tu izo interview ndio zinazommaliza anajichoresha waziwazi kuwa yeye ni boya........aliulizwa kwanini hukufanya sub ya 3
alijibu hivi "katika dk 10/15 za mwisho nilifikiria kumuingiza Amad au Shola na kumtoa Rashford, Bruno au Greenwood ila ktk dk zile nilifikiri kuwa kati ya hao mmoja wao anawezakupata goli"
huyu ndiye kocha mlienaye.
Mdau sina kipaji icho ila wazo langu ni hiliUnaweza kututajia mmoja ambaye atatutoa hapa ?
Bado hajafukuzwa tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1717013View attachment 1717015View attachment 1717016View attachment 1717017View attachment 1717018
Sasa baily mazoezi hafanyi vizuri nani ampange?Hizo beki za kati bila Bailey ni kutafuta kushikana uchawi tu.
Ila ngoja tuone, mwalimu kaona nini.
Fungeni Magori mengi msipende kitongaVitu vitatu vilivyotukosesha ushindi leo:
1. Tumenyimwa penalty ya wazi pamoja na VAR kutumika.
2. Ole Gunnar Solskjaer ni kocha wa kawaida sana, United ina wachezaji wakali ila mpira wanaocheza ni kituko.
3. McTominay katulaza na viatu kama mdogo wake Rashford alivyofanya kwenye game ya Liverpool pala Anfield. Nilitegemea Scott atapiga mpira wa juu kwenye ile counter attack badala yake akapiga chini ukaishia miguuni mwa mabeki wa Chelsea.
Chelsea leo wametuzidi karibia kila kitu uwanjani, ni wazi unaona mabadiliko yao kiuchezaji chini ya Tuchel. Hapa kwa Ole tutasubiri sana.View attachment 1714270
Uzi umekisaidia nini sasa kuna watu ni viaziGGMU..
Leo tunavaa uzi wetu wa "pundamilia"
Uhakika tunashindaHiyo mechi tunashinda goli zaidi ya mbili
Hata mashabiki nao ni kama hayana ubongoWell,what do you expect kutoka kwa msimamizi wa mazoezi?.kuchekacheka tu na kina Rashford..tunacheza cheza kama hatuna akili vile.
Sh.it
Huyo mzee anakula mafao unataka aje awafundishe hao vilaza?Ila kocha wetu wakuu sijui na genge lake wanachofikiria kwa mfano kuna wachezaj viwango vyao vipo chini sana lakin wanacheza kosa la pili kuifikiria timu ya mbele wakat ya nyuma hujamalizana nayo haya matokeo ni muendelezo wa upuuzi wa mech ya shefield united
Namuheshimu sana kocha wetu kwa kuleta umoja kwenye timu hilo kila siku ntakuwa muwazi ila hakuna kocha tutapata kama mourinho wengi mnapinga sana ila mtazidi kuelewa tu taratibu na hata aliposema kumaliza nafasi ya pili na ile timu ya wakina phil jones ni mafanikio makubwa ktk kazi yake ya ukocha vinaanza kujionesha
Mourinho aliongea sana suala la martial leo jambo lipo wazi kaongea pogba pamoja na kwamba yeye alimleta kila siku timu inasaka kiungo na si kwamba pogba mbovu hapana kumudu majukum tu huwa anazembea
Hata pep alikosea kwa wakina nolito na yule kipa alimtoa barcelona bado alisahihisha makosa
Timu imebanwa balaa leo anatoka cavan anaingia james anamtoa fred anamuingiza scott???? [emoji23][emoji23][emoji23] hao ndio anataka wakabadili matokeo
Kitu nawaza hadi muda huu kashindwa kabisa kumtumia DVB na yule dogo mwingine dialo anakwenda kupotea alisajili pelistri kapotea huko anawachukua wa nn?
Mengine tunashindwaga kuhoji hapa kwa kuwa tunaonekana tunachuki
Greenwood hastahili kumaliza dakika 90 mara ya mwisho kufunga goli mech ya liverpool kwenye FA hii ina maana gani sasa?
Kocha ambae hii timu ingempata tungelamba dume ni huyu
Josef "Jupp" Heynckes
View attachment 1716804
Huyo wangefanya mbinu za kumrudisha kufundisha mpira ni mzur sana hasa mbinu zake
Tatizo alistaafu lakin kama kuna mzigo anarudi tu huyo angeimudu hii timu
Harry maguire alipokuwa leicester city alikuwa na rekod nzur sana toka aje kwetu kawa kituko kwa sasa nahisi mbinu za kocha wetu ni mbovu kuna wachezaj wanashuka viwango kwa kasi sana
Mechi ya real socieded yule dogo amad dialo alichezeshwa upande ambao sio wake mistake nyingine hiyo kama ambavyo tumpoteza rashford yule wa van gaal kirahisi sana kwa ajili ya kumfanya martial awe center foward jambo ambalo bwana martial limemshinda tukamuuza Lukaku kwa mbwembwe kupisha hawa madogo
Hii timu isipotumia pesa kupata wachazaj wakomavu tukitegemea wakina greenwood na shola inazidi kupotea
Toka class of 92 hakuna kizazi kilichoibuka toka kwenye academy
Wakuu mnasikia tena La masia?
Mess ndio anamalizia La masia msoto unaanza.
Amekimbiza mingapi na Liverfools kifupi manchester ina wachezaji vilaza sanaHii timu mpe klopp atakimbikiza miaka kumi pale epl....