Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Manure sio ndugu yako ukiona anakutesa hamia kwenye raha tu
Ni jambo la kikuma sana ! Wachezaji asilimia kubwa wanajiona mastaa wanatembea kwa kunata uwanjani, yani wanacheza kana kwamba msimu ukiisha watapewa tu ubingwa, waendelee kusubiri mammbwa, yani sisi wapenzi ndio tunaoumia sana, achana na mashabiki maandazi ambayo muda wowote yanaweza kuhama, ila ed na bodi wanamlinda kocha, wamiliki wamejificha kama hawapo vile, Mimi sijui tu, yani sahivi ukiingia old Trafford ni kama umeingia kucheza na fulham






