mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
" we should not be considered even title chasers"
This statement shamelessly ended our season.
Watanzania ccm imetuharibu sana, yani hamtaki kabisa kuambiwa ukweli.
Sosha ameona mbali na wachezaji alio nao kaona bora awaambie ukweli tu.
Sasa baada ya huo ukweli umeona boss au mashabiki wa man u pale mjini Manchester wameandamana??
Nikiwatoa nyie nyumbu wa buza, nipenibjibu hapo
Jpili mpo na city,
Tuanze kuchanga Rambirambi au tunazika kijeshi?

️
️
Ash Donelon★