Binafsi sioni kama tunahitaji zaidi kusajili wachezaji kwa sasa japo ni muhimu ili kuongeza nguvu. Timu ipo ila haina mtumiaji mzuri. Kama utapima mchezaji mmoja mmoja sisi na Manchester City sioni utofauti wao na sisi.Probably hatutasajili kabisa kwa hali ninayoiona
Hatuhitaji kusajili zaidi kwa sasa tunahitaji zaidi kubadili benchi la ufundi na Ed amlete mtu wa kufanya maamuzi kuhusiana na mpira huyu ndiye awe msimamizi wa benchi la ufundi (director of football, DoF).
Kama tukipindua msimu ujao hivi hivi bila msimamizi wa benchi la ufundi mwenye uelewa na uwezo wa kuendesha timu tutarudia makosa haya haya kila siku msimu uliopita tulikosa UEFA ndogo kizembe na sasa hivi mpaka january tulikuwa tunamzidi City point 1 lakini ndani ya mwezi mmoja na nusu anatuzidi point 14.

