Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie matakataka Muda wenu wa kuvurugwa umefika.
Leo hamuna pa kutokea mkijitahidi sana mnachezea tatu..
#CFC
 
Ukisema tuangalie akili, semeni wenyewe T. Tuchel na sosha nani ana akili timamu??

Wadogo zangu Chelsea mimi kaka yenu arsenal nahidhinisha kwa chochote mtakacho mfanya huyu nyumbu
 
Carlisle huvuna £10K kila mechi Dean akiidakia Manutd lakini hawapati kitu kama yuko kwenye mkopo.

Ni mkataba mnono kwao fikiria kwa mechi wanatia kibindoni Tshs 23, 190, 000/= Mungu awape nini?
Carlisle ndio kina nani hao mkuu?
Ni timu ama wakala?
 
Ukisema tuangalie akili, semeni wenyewe T. Tuchel na sosha nani ana akili timamu??

Wadogo zangu Chelsea mimi kaka yenu arsenal nahidhinisha kwa chochote mtakacho mfanya huyu nyumbu
We kweli kobe!
Badala kuombea tumvute shati ili umkute njiani, unatuombea njaa!
 
Back
Top Bottom