Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thomas Tuchel kasuka backline vizuri kwa kuwatumia wachezaji waliokuwa wanaonekana vilaza tu na Lampard na wanacheza vizuri.

Azpilicueta Christensen Rüdiger

Hapa ndo ubora wa mwalimu unapoonekana..na sio kuwa mhamasishaji tu.
Hata Ole mwanzo alishinda mechi 12 mfululizo baada ya hapo the rest is history kwahiyo Tuchel tuendelee kumpa muda
 
Thomas Tuchel kasuka backline vizuri kwa kuwatumia wachezaji waliokuwa wanaonekana vilaza tu na Lampard na wanacheza vizuri.

Azpilicueta Christensen Rüdiger

Hapa ndo ubora wa mwalimu unapoonekana..na sio kuwa mhamasishaji tu.
Mechi za mwanzoni tu hizo mkuu wala zisikupe pressure, hata Ole, Arteta nao walianza hivyo hivyo, kocha hawezi kubadilisha timu ndani ya wiki tu never.
 
Thomas Tuchel kasuka backline vizuri kwa kuwatumia wachezaji waliokuwa wanaonekana vilaza tu na Lampard na wanacheza vizuri.

Azpilicueta Christensen Rüdiger

Hapa ndo ubora wa mwalimu unapoonekana..na sio kuwa mhamasishaji tu.
upo sawa kabisa lakn ebu niambie ww yale makosa anayo fanyaga ya Maguire unataka kusema kocha anausika au ni uwezo wa mcheza binafsi na kuto kuwa makini
 
upo sawa kabisa lakn ebu niambie ww yale makosa anayo fanyaga ya Maguire unataka kusema kocha anausika au ni uwezo wa mcheza binafsi na kuto kuwa makini
Ni kazi ya kocha kuona mapungufu ya mchezaji na kumrekebisha awe mzuri..ikishindikana inabidi kocha afanye taratibu za kumuondoa taratibu kikosini kama kweli anadhani yeye(kocha) amefanya kila linalowezekana lakini bado mchezaji hafikii ubora unaohitajika..
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Manchester United na hii ni post yangu ya kwanza kwenye hii special thread ya GGMU...Kwa muda mrefu nimekuwa nikipitia hii thread kupata kujua wenzangu mna maoni gani kuhusu timu yetu. Naamini tutakuwa wote katika kujadili timu yetu na kutoa baadhi ya mapendekezo japo najua ni voiceless.

1. Tatizo kubwa la kwanza la Man united ni KOCHA..Lakini hata kocha akibadilika bado ufanisi utakuwa zero kwa sababu;-

2. Tuna very low quality Players kwenye maeneo muhimu ambao wako so overated. Naomba niwataje,,,RASHID na kaka yake MARTIAL mpaka leo sijawahi kujua ni kwanini wanakuwa na uhakika wa kuanza 80% ya games zote msimu mzima....Kwangu mimi hawa ni AVERAGE PLAYERS waliopata bahati ya kupata playtime kwenye timu ambayo iko desperate...Yes wana talent lakini hawana CONSISTENCY.....Mastriker gani hawajawahi kuwa hata kwenye tatu bora ya top scorers wa epl japo kwa bahati mbaya kwa zaidi ya miaka 4.

Tukiendelea kuwategemea hawa watu..ata aje kocha gani pale hatuwezi kutoboa unless wabadilike..​
 
upo sawa kabisa lakn ebu niambie ww yale makosa anayo fanyaga ya Maguire unataka kusema kocha anausika au ni uwezo wa mcheza binafsi na kuto kuwa makini
Mkuu kwa huyu Maguire ni bora tungembakisha Chris smalling.
The man was better than this maguire in my opinion.
 
Kifaa hicho
IMG_20210305_204414_414.jpg
 
Nionavyo

Manchester City 0-0 Manchester United
Hawatuachi mkuu piga ua Mana The mighty Ole ataingia na mfumo wa kukaba mwa mwi na ndipo Pep atakapotufundisha soka, binafsi sitaangalia hiyo mechi cz huwa sipendi mpira mchafu wa kukaba kaba na kupaki basi, huyu kocha wetu ana kikosi kizuri na kinachoweza kusakata soka safi ila anapokutana na Pep huwa anapaki basi hivyo siwezi kuitazama hyo mechi.
 
Hahaha nilipoona hii kitu hapa ilinibidi niangalie jina la huyu mtu Google. And yes you guessed it right, he's an English journalist lazima angeongea upupu kumtetea raia wa nchini kwake.

Sina hakika kama anafahamu Marcus Rashford anacheza mpira Manchester United kwa kulipwa ($200k/weekly) na sio kwa sababu anaipenda timu kama ni kweli anaipenda timu kutoka moyoni mwake hili ni juu yake.

Uzembe anaoufanya uwanjani hahusiani kabisa na maumivu ya mgongo. Pia kama kweli ana maumivu ya mgongo hapaswi kuwepo uwanjani kucheza kiufundi atakuwa anaigharimu timu zaidi.
 
Back
Top Bottom