Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mim binafs nilijua title contenders ni

Liverpool na man city

Kitendo cha liverpool kupoteana sioni kabisa mwingine wa kutusogelea city...

Mpaka sasa timu inayonipa hofu ni liverpool tu ,man utd haina madhara kabisa kwenye mbio zetu ...

Man utd huwa sina hofi nayo kabisa

Hata tukiwapa game 4 mshinde mchukue epl bado hamna uwezo sasa hiyo ni timu ...

Epl hiyoo inatua etihad kiulain kabisa

Nawakumbusha tu tulipokuwa ,wakat huu spurs alikuwa anashona suti za kusherekea ubingwa hhaaaaaa...

mancity_mcfc-20210215-0001.jpg
 
Ni kwasababu beki mzembe, mtu yupo nyuma yako wewe upo mbele ya mpira anapigaje kichwa?
Aisee pale Lindelof ingebidi awe strong fasta asisubirie sana mpira lakini yule nigga alicheza kihuni sana pale..kamfumba macho kabisa..

Craig Pawson (refereee) pale alizingua na VAR nayo ikatulia tu mama.e

Though..Maguire+Lindelof partnership is disgress
 
WHAT DO WE STILL NEED?(AKA A NEVER ENDING STORY)

Kwa upande wangu.

1.Technical quality..

Bado naendelea kuona timu yetu ni poorly coached team..tunahitaji ubora zaidi kwenye hili eneo..Sijui tutalipata vipi kama uwezo wa makocha wetu umefika mwisho pale,kuwatimua maybe?i think no,tupate tena dirisha lijalo then tuone..Ila for the meantime timu yetu bado ni nyepesi hata kipindi tupo form bado ukiangalia mpira unaona kuna mapungufu mengi ambayo hayafanyiwi kazi..tusizuzuke na kuwa nafasi ya pili.

2.Mwarobaini wa kubreak down..

Dawa ya timu zinazocheza low block bado haijapatikana miaka yote hii mitatu ya Ole..Bila kuwa na mchezaji kama Jack Grealish kwenye kikosi chetu next season tutaendelea tu kuwa wakata majani..Pia ni lazima tukubali kuwa McFred partneship as double pivot sio suluhisho..inabidi tutafute DM mmoja mkali ili tupate room ya kum-accomodate kiungo mwingine mbunifu..

3.Defence

Defence yetu pia kwenye upande wa centre back bado pana shida kubwa..huwezi kubeba ligi na partnership inayocheza maboko day by day.

4 .Striking Force..

Tukiweza kuyaacha majina ya Martial na Rashford out of the starting XI kwa mara nyingi next season,hapo ndipo tutaanza kuchallange ipasavyo..So unajua nachomaanisha hapa?,,tushushe vifaa watu wapambanie namba ipasavyo.
 
Mim binafs nilijua title contenders ni

Liverpool na man city

Kitendo cha liverpool kupoteana sioni kabisa mwingine wa kutusogelea city...

Mpaka sasa timu inayonipa hofu ni liverpool tu ,man utd haina madhara kabisa kwenye mbio zetu ...

Man utd huwa sina hofi nayo kabisa

Hata tukiwapa game 4 mshinde mchukue epl bado hamna uwezo sasa hiyo ni timu ...

Epl hiyoo inatua etihad kiulain kabisa

Nawakumbusha tu tulipokuwa ,wakat huu spurs alikuwa anashona suti za kusherekea ubingwa hhaaaaaa...

View attachment 1703088
Mpaka tukiwafunga pale Etihad ndiyo utazinduka
 
WHAT DO WE STILL NEED?(AKA A NEVER ENDING STORY)

Kwa upande wangu.

1.Technical quality..

Bado naendelea kuona timu yetu ni poorly coached team..tunahitaji ubora zaidi kwenye hili eneo..Sijui tutalipata vipi kama uwezo wa makocha wetu umefika mwisho pale,kuwatimua maybe?i think no,tupate tena dirisha lijalo then tuone..Ila for the meantime timu yetu bado ni nyepesi hata kipindi tupo form bado ukiangalia mpira unaona kuna mapungufu mengi ambayo hayafanyiwi kazi..tusizuzuke na kuwa nafasi ya pili.

2.Mwarobaini wa kubreak down..

Dawa ya timu zinazocheza low block bado haijapatikana miaka yote hii mitatu ya Ole..Bila kuwa na mchezaji kama Jack Grealish kwenye kikosi chetu next season tutaendelea tu kuwa wakata majani..Pia ni lazima tukubali kuwa McFred partneship as double pivot sio suluhisho..inabidi tutafute DM mmoja mkali ili tupate room ya kum-accomodate kiungo mwingine mbunifu..

3.Defence

Defence yetu pia kwenye upande wa centre back bado pana shida kubwa..huwezi kubeba ligi na partneship inayocheza maboko day by day.

4 .Striking Force..

Tukiweza kuyaacha majina ya Martial na Rashford out of the starting XI kwa mara nyingi next season,hapo ndipo tutaanza kuchallange ipasavyo..So unajua nachomaanisha hapa?,,tushushe vifaa watu wapambanie namba ipasavyo.
Hivi sokoni kuna kocha gani mwingine wa kututoa hapa tulipo?
 
Mpaka tukiwafunga pale Etihad ndiyo utazinduka
Mkuu msimu huu hujanifunaga

Man utd vs man city(0-0). OT

Man utd vs man city (0-2).OT carabao semi final

Sasa mnafikilia kuja kuchukua point 3 etihad kweli ?

Mkuuu kuwa serios basi

Tunaweza kuwapiga hata goli 5 kwa kasi tuliyonayo kwa sasa city
 
Back
Top Bottom