The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Meza wembe broUsingizi umekata kmkkk..
Nina hasira sana aisee..


Haha yani mabroo yalikalisha mitako yao attention wakijua wanashinda. Kumbe tulikuwa tuna wa zoom tuUna hasira utafikiri uliamini mtashinda
















Lile kocha letu halijui mpira hata kidogo halijui lifanye sub ya namna gani kulingana na mechi halijui kufundisha kukaba na kufunga set up plays halina mbinu yoyote ya mpira mbaya zaidi halina bahati
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Aondoke kwanza Maguire. Huyo ndo tatizo kubwa pale nyuma.Beki ni Bailly ambaye huwa anaficha makosa ya Maguire, tatizo lake pancha nyingi so na suggest man imuachie linderlof aende isajili beki ya kusaidiana na Maguire pindi Bailly akiumia.
Alafu ningependa kile kitambaa avuliwe Maguire apewe Bruno.
El matador anajituma sn kwakweli anakaba mno, leo wapinzani wetu wameona jinc gn man utd ilivyo kwa ss na ndiyo maana japo tumetoa sare ila hawaongei sn wameona soka tulilopiga isipokuwa kuna wajinga wachache bado wanatu cost na sidhani kama wataondoka labda aje kocha mwengine.
Ole amejitahd kujenga kikosi but hatoweza kukipa mafanikio, aje kocha mwengine mwenye uzoefu atimue wasenge wachache waliobaki kina Martial, linderlof, tuanzebe alafu ahakikishe rashford asiwe anaanza, hapo hakuna tm itatusumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh we umewahi kusikia Arsenal imeshuka daraja? Wenye utamaduni huo ni united na chelseaWe hapa tulia tu nenda kule mkajinasue msishuke daraja hapa sio level yako wenzio wakina brighton huko unapigwa back to back na aston villa halafu unakatiza hapa? Una roho ngumu kama ya paka
Mmhh we umewahi kusikia Arsenal imeshuka daraja? Wenye utamaduni huo ni united na chelsea
Kwani kauzwa huko westham?Dogo anatukubali bado View attachment 1695953
Maana yake anaweza kuzitafuta sana.Cavani huwa analalamika sana, haka katoto kachoyo kana mpira wa kitoto sn, hakajui kutumia akili kufunga, kenyewe kanawaza mashuti tu, alafu kwa bahati mby clear chances huwa zinamfata yeye tu.
Sent using Jamii Forums mobile app