Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuanzebe hajapoza machungu anamuingiza kufanya nini wakat upande ule wa kulia greenwood alifanya vizur sana

Wakuu ole ni pochetino nawaambia ukweli
 
Bila beki mbili za kati mpya kabisa msimu ujao hatubebi kombe, maana naona msimu huu nyau anaangukia jikoni mapemaaa
 
defence-wakabaji, lile goli la pili la james sijui nimeliona mara ya ngapi msimu huu tunafungwa same story leicester, shefield etc si tatizo la beki bali kiungo mkabaji anashindwa kunusa hatari zile.
Kbsa mkuu! Yan marking ya man to man kwnye box letu ni poor kbsa hata game ya arsenal walikua na nafas ya kutufunga goli kama lile!
 
Magwaya ni political figure pale kati, ukichukua na lindelof ndo unapata presha kabisaa, muda wowote hawa majamaa wanaacha kukabia miguu wanakabia macho
 
refa naye mpira ulishaisha, wakati tunapiga foul yetu ilikuwa ni dakika 94,

Cavan alikaa chini sana zile sekunde ila hata moss si refarii mzur bado sio sababu ya hii timu yenye bek mbov na kocha mjinga kushindwa kubeba lawana hata kocha angeongeza dakika 100 kama unaukuta wa maana hata ka moja kanakaaa milele
 
Bailly tunamhitaji kwa nguvu zote. Maguire na Lendelof kwa pamoja hawana combination ya kuzuia magoli. Ni kheri tumrudishe Fusu- Mensar.
 
Kila siku anatuuwa lkn kocha bado anampa games tena anamuingiza mda wa pressure wkt anamjua beki mwenyewe tia maji tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kocha ni king'ang'anizi kisenge, Kuna kipind lingard alikuw anazngua lakn Kila game anaanza au anaingia sub, Hadi wadau tukawa tunahisi labda anamkata sister wake lingard

Msimu uliopita de gea kachoma Sana ila Kila game alikuw anaanza yeye huku Romeo yupo form

Baily vs Lindelof

Kifupi tutegemee kumuona Tuanzebe sana tu. Maana ole ni Kama kijana ambae ashapenda afu watu wanamwambia amuache mpenzi wake, huwa anawaona hao watu kam wanampigia kelele na ndo anazd kampenda mpenz wake
 
Magwaya ni political figure pale kati, ukichukua na lindelof ndo unapata presha kabisaa, muda wowote hawa majamaa wanaacha kukabia miguu wanakabia macho

Kuna ile moja limejiangusha halafu li mtu la mwisho bahat nzur richalison alipiga vibaya wangechomoa mapena sana
 
Rashford anatakiwa kuachana na siasa za vyakula vya watoto,ajikite zaidi katika kukuza kipaji chake.

Leo kakosa nafasi mbili za wazi kabisa bahati mbaya hii si mara ya kwanza huu umekuwa sehemu utaratibu wake.

Man wanatatizo la baki wa kati kwa muda mrefu,kuumia kwa Bailly kumezidisha machungu.
 
Cavan alikaa chini sana zile sekunde ila hata moss si refarii mzur bado sio sababu ya hii timu yenye bek mbov na kocha mjinga kushindwa kubeba lawana hata kocha angeongeza dakika 100 kama unaukuta wa maana hata ka moja kanakaaa milele
huyo kocha mjinga ndio amekusababishia hii meltdown kwa kukuweka roho juu na ukapata hopes za ubingwa, mpeni respect yake.
 
Nimechukia sana *****..

Maguire £80m ameshindwa kudeliver..

Lindelof rojorojo..

Inabidi tuingie sokoni..hii patnership itatupa pressure.

De Gea nae kawa boya,Henderson naye apewe gametime

Amad diallo anaweza kutumia akili kushinda huyu Rashford..Ole anamchekeachekea tu..

Pumbav.
 
Huyo kocha ni king'ang'anizi kisenge, Kuna kipind lingard alikuw anazngua lakn Kila game anaanza au anaingia sub, Hadi wadau tukawa tunahisi labda anamkata sister wake lingard

Msimu uliopita de gea kachoma Sana ila Kila game alikuw anaanza yeye huku Romeo yupo form

Baily vs Lindelof

Kifupi tutegemee kumuona Tuanzebe sana tu. Maana ole ni Kama kijana ambae ashapenda afu watu wanamwambia amuache mpenzi wake, huwa anawaona hao watu kam wanampigia kelele na ndo anazd kampenda mpenz wake

Anaamini rashford anampa ubingwa? Hapa naanza kupata mashaka na huyu kocha leo greenwood alikuwa vizur sana anaenda kumtoa anamuacha rashidiiiii kibaya zaidi anamuingiza tuanzebe anachoma pia
 
defence-wakabaji, lile goli la pili la james sijui nimeliona mara ya ngapi msimu huu tunafungwa same story leicester, shefield etc si tatizo la beki bali kiungo mkabaji anashindwa kunusa hatari zile.
Chief-Mkwawa
Hayo magoli unayosema against Leicester na Sheffield ni huyo huyo TUANZEBE ndio aliwacost the same kwa Everton pia Goli la 3 ni yeye pia.
 
Bila beki mbili za kati mpya kabisa msimu ujao hatubebi kombe, maana naona msimu huu nyau anaangukia jikoni mapemaaa
Beki ni Bailly ambaye huwa anaficha makosa ya Maguire, tatizo lake pancha nyingi so na suggest man imuachie linderlof aende isajili beki ya kusaidiana na Maguire pindi Bailly akiumia.

Alafu ningependa kile kitambaa avuliwe Maguire apewe Bruno.

El matador anajituma sn kwakweli anakaba mno, leo wapinzani wetu wameona jinc gn man utd ilivyo kwa ss na ndiyo maana japo tumetoa sare ila hawaongei sn wameona soka tulilopiga isipokuwa kuna wajinga wachache bado wanatu cost na sidhani kama wataondoka labda aje kocha mwengine.

Ole amejitahd kujenga kikosi but hatoweza kukipa mafanikio, aje kocha mwengine mwenye uzoefu atimue wasenge wachache waliobaki kina Martial, linderlof, tuanzebe alafu ahakikishe rashford asiwe anaanza, hapo hakuna tm itatusumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom