Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aondoke kwanza Maguire. Huyo ndo tatizo kubwa pale nyuma.

Degea akae benchi. Kiwango kimeisha.

Tuanzebe, Martial watafutiwe pa kutokea.
Beki kisiki
Screenshot_2021-02-07-08-32-28.jpg
 
huyo rashford munaemponda kwamba ni mchoyo ndo huyo huyo amepiga cross cavani kafunga kichwa, tatizo mashabiki wengi wa man u humu muna favourites, kuna watu hata wakizingua kwenu sawa ila wengine ni kosa wanakuwa mbuzi wa kafara.

cavani kakosa goli ngapi vs arsenal? angekuwa ni martial ama rashford yangekuwa matusi ya kutosha tu. so far rashford ndio forward wetu aliejitahidi kushinda wote msimu huu, na whoscored wamemtangaza kama man of the match mechi ya leo vs everton
View attachment 1696350
Well said Chief...Rashford ni moto mkubwa. Watu wana tabia ya kulaumu wachezaji wasiowapenda. Naona hapa mnashusha lawama kwa Lindelof na Maguire. Hawa ni mabeki makini sana. Kitu cha muhimu kujua ili timu pinzani ishinde ni beki anakuwa kafanya makosa fulani. Usitegemee goli lifungwe kwa uzembe wa straika.
 
Pamoja na hayo halafu zero mafanikio chelsea kashuka karudi kabeba had ndoo za uefa manchester united kashuka karudi kukipita kila kitu

kwa sasa arteta anawatumbukiza huko bunrley mshindano wako na brighton wanakuja kwa kasi mkae chonjo
Hehehe timu inayoshuka daraja inasajili kocha aliyetoka kushusha timu daraja naona mnatunza utamaduni.
 
Back
Top Bottom