OGS yupo sahihi, were not title chaser, tunaruhusu kufungwa magoli mepesi vile tutachukuaje ubingwa?
Kama Degea anafanya makosa kama yale unataka OGS asemaje?
Kama Maguire Linderlof na Fred hawafanyi marking mpaka James Rodguez anapokea pass anajiandaa ana'shoot ndani ya 18 bila ya kugasiwa unafikir OGS atasemaje?
Kama Rashford jana kapoteza nafasi mbili za wazi unataka OGS asemaje?
Ile game na Asernal Cavan n Rashford n co walikosa open chance unataka OGS asemaje?
Jana Tuanzebe kafanya kosa ikawa faulo, timu imeshindwa jilinda sikunde tu mpira uishe unataka OGS asemaje?
Pep ashindwe mwenye kubeba EPL this season
Nilichofurahi OGS anayaona mapungufu ya wachezaji wake, dirisha kubwa ayafanyie kazi mapungufu ili 2021/2022 season tuwe real competitor
View attachment 1696716