Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwamba hawa hawajui kwamba kuna upuuzi?

Kwanza sijawahi kuzungumzia ubingwa kamba ole atabeba hakuna hiyo post humu huwa napenda timu ishinde tu hamna kocha wa ubingwa paleView attachment 1696342
Leo ni mechi imetuumiza sn mashabiki dunia nzima, yn magoli ya kipuuzi sn tumefungwa leo licha ya forward line kupambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawezaje kuwaacha hawa watu?
IMG_0249.jpg
 
Huyu huyu anakujaga na starts za martial na rashford ambao kila mech 7 au hadi 10 wanafunga goli moja anawasifia balaa
huyo rashford munaemponda kwamba ni mchoyo ndo huyo huyo amepiga cross cavani kafunga kichwa, tatizo mashabiki wengi wa man u humu muna favourites, kuna watu hata wakizingua kwenu sawa ila wengine ni kosa wanakuwa mbuzi wa kafara.

cavani kakosa goli ngapi vs arsenal? angekuwa ni martial ama rashford yangekuwa matusi ya kutosha tu. so far rashford ndio forward wetu aliejitahidi kushinda wote msimu huu, na whoscored wamemtangaza kama man of the match mechi ya leo vs everton
rash.PNG
 
View attachment 1696350

Hata saa mbovu kuna muda inakupa majira hao ni sawa na majogoo ya dar yanawika hadi saa nane za usiku unaweza kufikir pana kucha
 
Kinachoudhi ni jinsi tulivyocheza yn tumecheza vizuri sn, sijawahi kushuhudia tukicheza mpira mzuri hv tangu msimu huu uanze lkn matokeo ndio haya, totally absurd.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpira tumecheza vizur sana tena sana shida ukuta na sub za kocha wetu ndio hizo zinakera na waingereza wake wale madogo leo hadi nilimsifia greenwood kwa kazi aliyopiga ole kaharibu kazi greenwood kwa dakika moja tu

Unawezaje kufanya sub ya greenwood? Unazuia dakaka ya 93?
 
Imeshangaza sn aisee, yn leo kocha angekuwa anafundisha madrid au barca ilikuwa aondoke leo leo, hawafugi majini kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom