Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Timu itakayopangwa siyo hiiKwa mpira huu tunaocheza, tukicheza hivi na Arsenal(iliyo na molari),
Hatutapona.
Timu itakayopangwa siyo hiiKwa mpira huu tunaocheza, tukicheza hivi na Arsenal(iliyo na molari),
Hatutapona.
Rashford jeNashindwa kuelewa MARTIAL anafamya nn humo mpk sshv
Mbali na rotation nilivyomuona Telles na Tuanzebe nilijua leo amedharau Sheff kisa wapo mkianiUjinga wa kocha kufanya rotation umetucost
Sijui watu wanaona nini lakini mimi binafsi sijawahi kuona uwezo wa huyu jamaa... hata pale mbao fc siwezi mpanga kabisaNashindwa kuelewa MARTIAL anafamya nn humo mpk sshv
Draw hawana timu hawa,Unataka kushinda EPL kwa Penalty kila mechi ,Ushinde EPL kwa striker mwenye goli 2.Draw inawatosha ....
Wacheni uwongo wenu hapa, yn sheffield ndo anaupiga mwingi kuliko utd wkt possession ilifika mpk 80%, sema man imejiamini sn wanaona km watafunga mda wwte kitu ambacho sio vzr, aingie cavani atoe Takataka martial, na Matic pia atoke.
Prediction: man 4-1 sheffield.


Man United kuwa wa kwanza ni kama kumuona tembo juu ya mti. Wote hatujui kapandaje ila tuna uhakika atashuka.

