Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_0129.jpg

Lukaku
 
De Gea
Wan-Bissaka Tuanzebe Maguire Telles
Matic Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Martial

rotation ya maana.
Anatakiwa aweke full majembe,,,then tunaua game first half wanapumzishwa!

Hizi timu ndogo tunatakiwa tuzipige, ajabu unaweza kufanya rotation Leo then jmoc ukadroo , !!!

Anyway

#GGMU
 
Huku backline ni pakacha yani kunavuja hata tukishinda lakini hii tabia ya kufungwa kwa kutanguliwa inakera kila siku.
All in all Pogba anafurahisha kumuangalia sijui kazaliwa upya.
 
Inawezekana timu huwa inamtegemea Luke Shaw kupandisha mashambulizi. I miss Shaw
 
Halafu kwa mpira huu mnategemea mumfunge Arsenal pale uwanja wa ndege kweli?

Acheni kujidanganya nyie nyumbu.
 
Back
Top Bottom