OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hahahaha dahKatakua kanajipodoa mida hii, tayari kwa mtoko na mzee mwenyewe.
Si unajua msiba haumuhusu?
Hahahaha dahKatakua kanajipodoa mida hii, tayari kwa mtoko na mzee mwenyewe.
Si unajua msiba haumuhusu?
Hahaha kumbe huyu ndo dully Jr [emoji3][emoji3][emoji3]Usiulize jibu, pigia mstari.
Alafu ile Id yako ya Dully Jr ndio umeisusa sio?
Umeona tumemtimua Lampadi? Tunajenga timu ..vipigo vinakujaKaribu ushabikie chama la kibaba, achana na timu za uwani hizo!
We huoni unakonda siku hizi! Nitimu timu hiyo ina kukondesha.
Acha ujinga wewe.
Yani tuwe na wivu huu utopolo?Jamaa wana wivu wale acha kabisa
Tulia wewe[emoji3][emoji3] sisi ndio wataalamUmeumia auu tupake mate mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeona tumemtimua Lampadi? Tunajenga timu ..vipigo vinakuja
This is Chelsea
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Naona ushafukuza kocha uko [emoji3][emoji3][emoji3]Tulia wewe[emoji3][emoji3] sisi ndio wataalam
Huyu mwamba ende tu.
Bye bye Lingard?
Atarudi kama PogbaHuyu mwamba ende tu.
Wacha kuota ndoto za mchanaBig Sam anaweza kutusuprise kwa pep!!!!
!!!!!