Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Leo tunashinda tatu bila majibuTutakuona Leo ,
Hio point moja ilitupa ubingwa ,na Liverpool alibaki anashangaaa
O2.5
No BTTS
Back at the top of the EPL
Leo tunashinda tatu bila majibuTutakuona Leo ,
Hio point moja ilitupa ubingwa ,na Liverpool alibaki anashangaaa
We jamaa,hebu twambie wewe ni shabikia halisi wa Timu gani? Kama ni wa Man City umeanza kuishabikia lini,na kama ni siku za hivi karibu huko nyuma ulikuwa shabiki wa timu gani, Ili tujue.Wba 0-4man city
Toka mancin ,pellegrin ,kidd sasa gardiolaWe jamaa,hebu twambie wewe ni shabikia halisi wa Timu gani? Kama ni wa Man City umeanza kuishabikia lini,na kama ni siku za hivi karibu huko nyuma ulikuwa shabiki wa timu gani, Ili tujue.
Huwezi kuwa shabiki halisi wa Man City unless uwe ni kitoto cha juzijuzi kwenye mpira.Nina mashaka huenda ukawa ni shabiki wa Arsenal ila uko Mancity kutafuta faraja.
Leo united hatokiLeo tunashinda tatu bila majibu
O2.5
No BTTS
Back at the top of the EPL
Kwahiyo wewe huwezi kabisa kujadili bila ya kumtukana mtu? Unaonyesha utoto mwingi sana kwenye hoja zako.Vijana wa Sasa mnashida sana,Sasa kwa hizo akili,wewe unaweza fanya kazi gani ya maana zaidi ya kufugwa kwa shemeji yako?Toka mancin ,pellegrin ,kidd sasa gardiola
Mimi ni shabiki wa city kenge wewe
Nakukumbusha tu huu ndio msimamo kwa sasa EPL
Hayo mengine ni takataka
Huoni hata game zimezochezwa View attachment 1687192
Kesho asubuhi,Man U Itakuwa kileleni tena.Hatuwezi kufungwa na kitimu kinachoburuza mkia kwenye msimamo.Leo united hatoki
Sasa pressure imehamia kwa mashetani wekundu
Timu lenyewe linaitwa shetani ,sijui linategemea nini
Mbaya zaid kuna vijina wanajiita devil humu
Hahahaaaaaaaaaa
Mkuu kama wewe umekula chumvi nying ni wewe ,Mimi kuwa 20's sio kigezo cha kuunza kunipangia timu ya kushabikiaKwahiyo wewe huwezi kabisa kujadili bila ya kumtukana mtu? Unaonyesha utoto mwingi sana kwenye hoja zako.Vijana wa Sasa mnashida sana,Sasa kwa hizo akili,wewe unaweza fanya kazi gani ya maana zaidi ya kufugwa kwa shemeji yako?
Hata hivyo sishangai, kama umeanza kufatilia mpira enzi za kina Roberto Mancini, wewe ni mtoto tena 20's kabisa.
Timu ilikua na njaa ileKweli hujajutia
Unavigezo gan kunambia Mimi ni shabiki wa arsenal kama sio utotoKwahiyo wewe huwezi kabisa kujadili bila ya kumtukana mtu? Unaonyesha utoto mwingi sana kwenye hoja zako.Vijana wa Sasa mnashida sana,Sasa kwa hizo akili,wewe unaweza fanya kazi gani ya maana zaidi ya kufugwa kwa shemeji yako?
Hata hivyo sishangai, kama umeanza kufatilia mpira enzi za kina Roberto Mancini, wewe ni mtoto tena 20's kabisa.
Sawa bwana mdogo.Unavigezo gan kunambia Mimi ni shabiki wa arsenal kama sio utoto
Wazee wengine mnazeeka vibaya ,
Kwamba man city haina mashabiki ?
Legeza ubongo na kichwa
Ukimheshimu Mtu na yeye atakuheshimu
Tatizo sio kila mzee anabusara ,siku hizi kuna wahuni wanazeeka
So sioni jipya
Yani umeanza shabikia mpira mancin akiwa kocha wa man city duuuh!!Toka mancin ,pellegrin ,kidd sasa gardiola
Mimi ni shabiki wa city kenge wewe
Nakukumbusha tu huu ndio msimamo kwa sasa EPL
Hayo mengine ni takataka
Huoni hata game zimezochezwa View attachment 1687192
Kwahiyo wewe huwezi kabisa kujadili bila ya kumtukana mtu? Unaonyesha utoto mwingi sana kwenye hoja zako.Vijana wa Sasa mnashida sana,Sasa kwa hizo akili,wewe unaweza fanya kazi gani ya maana zaidi ya kufugwa kwa shemeji yako?
Hata hivyo sishangai, kama umeanza kufatilia mpira enzi za kina Roberto Mancini, wewe ni mtoto tena 20's kabisa.
Soma neno kwa neno line by lineYani umeanza shabikia mpira mancin akiwa kocha wa man city duuuh!!
Unaongoza kwa point moja unaita presha? Usichekeshe wasiocheka
Wew unaushqbiki gan na utdHuyo dogo nimegundua ni wale watu wenye ID mbili au tatu moja kanatumia kwa upole nyingine kwa matusi halafu sio kashabiki ka city ka mamluki hako mkapuuze
Mtu anayezungumzia past ,huwa namuona hamnazo ,tupo 2021 ,tunatakiwa kuaangalia wakati uliopo na ujao, unatembelea historia ,itakusaidia ninHalafu city anakwenda kwa liverpool ambayo hata liverpool achezeshe timu b city huwa hashindi pale miaka zaidi ya 18 sasa