Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_0116.jpg
 
Ole hata ikitokea kufutwa kazi kocha ajae hawez kupata shida kwa sababu tayar kaanza kurudisha unity kwenye timu angalau kuna uelekeo ambao unaonekana kama timu ni vitu vidogo tu kurekebishwa msimu ujao hata ile identity ya timu ilipotea hapo nyuma kwa sasa walau tunaona kuna kurudi jambo moja bado kuzungusha sana kikosi
 
mi naona kila mtuu afee kwenye uzi wake
kama we arsenal
chelsea
liverpool
man city
au banley bhas ka kwenye uzi wako jadili mambo ya timu yako na wenzako
unafiki umbea na kierere kwenye nyuzi za watu hakifai
mana unaona mtuu anaongea usenge kweli wakati aijui timu husika kwa lolote
 
Nakazia kubabake
 
Halafu na matusi hadi unajiuliza haka ka mtu kanajidili mpira au kana bifu na watu?
 
Ole hata ikitokea kufutwa kazi kocha ajae hawez kupata shida kwa sababu tayar kaanza kurudisha unity kwenye timu angalau kuna uelekeo ambao unaonekana kama timu ni vitu vidogo tu kurekebishwa msimu ujao hata ile identity ya timu ilipotea hapo nyuma kwa sasa walau tunaona kuna kurudi jambo moja bado kuzungusha sana kikosi
Usisahau pia tuna hazina kubwa ya wachezaji vijana.
 
MATCHDAY

Hii ni game ambayo inabidi tushinde kiulani kabisa mapema..It's against blades guys ambao wanashika mkia kwenye msimamo wa EPL..Wapo kwenye form mbovu kabisa.

•••••••••

MY STARTING XI vs SHEIFIELD UNITED

=======

De Gea

AWB Bailly Maguire Telles

Matic Fred

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

======

Rashford,Pogba,Shaw on the bench..

✓Pogba amecheza sana consecutively na nadhani inabidi apumzike kidogo ili mechi ya Arsenal awe fresh..pia anaweza kutumika kama sub baadae kama mechi itakuwa bado ngumu,but naamini kwa kikosi hicho kwa kwanza blades bado hawatafurukuta,utakuwa ni uzembe mkubwa sana tusipopata matokeo

✓Rashford hamna haja ya kumrush,atulie benchi.

✓Let's give Telles some minutes.

✓Martial yupo out of form vibaya sana,but let see anachoweza kufanya leo

✓Amad Diallo on the bench?????..ningefurahi iwe hivyo,seeing what Bukayo Saka is doing at Arsenal inanitamanisha pia kumuona Amad taratibu taratibu akiwa analetwa karibu na first team

GGMU
 
Huyu pain killer ni kumchongea tu ale ban ya milele......
Hahaaaaaaaaa

Mkuu Mimi kusifia siwezi

Kama mnataka kusifiana group la Wasap linawafaa

ila swala La kutokufungua Uzi ,jf ina thread kibao na kila mtu anafungua ...

Mimi kuwakera ni kawaida
 
MATCHDAY

Hii ni game ambayo inabidi tushinde kiulani kabisa mapema..It's against blades guys ambao wanashika mkia kwenye msimamo wa EPL..Wapo kwenye form mbovu kabisa.

•••••••••

MY STARTING XI vs SHEIFIELD UNITED

=======

De Gea

AWB Bailly Maguire Telles

Matic Fred

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

======

Rashford,Pogba,Shaw on the bench..

✓Pogba amecheza sana consecutively na nadhani inabidi apumzike kidogo ili mechi ya Arsenal awe fresh..pia anaweza kutumika kama sub baadae kama mechi itakuwa bado ngumu,but naamini kwa kikosi hicho kwa kwanza blades bado hawatafurukuta,utakuwa ni uzembe mkubwa sana tusipopata matokeo

✓Rashford hamna haja ya kumrush,atulie benchi.

✓Let's give Telles some minutes.

✓Martial yupo out of form vibaya sana,but let see anachoweza kufanya leo

✓Amad Diallo on the bench?????..ningefurahi iwe hivyo,seeing what Bukayo Saka is doing at Arsenal inanitamanisha pia kumuona Amad taratibu taratibu akiwa analetwa karibu na first team

GGMU
uko sahihi 99.9%
 
Wewe kwanini unasumbua watu humu, huoni kwamba Manchester United ni timu kubwa kuliko City? Je unapinga hilo?
Yaah enzi hizo za babu AF man utd ilikuwa timu kubwa sana ya kuogopeka na tishio

But nowadays ni timu ya kawaida sana ,tena sanaaa

Hilo kila mtu analiona
 
MATCHDAY

Hii ni game ambayo inabidi tushinde kiulani kabisa mapema..It's against blades guys ambao wanashika mkia kwenye msimamo wa EPL..Wapo kwenye form mbovu kabisa.

•••••••••

MY STARTING XI vs SHEIFIELD UNITED

=======

De Gea

AWB Bailly Maguire Telles

Matic Fred

Greenwood Fernandes Martial

Cavani

======

Rashford,Pogba,Shaw on the bench..

✓Pogba amecheza sana consecutively na nadhani inabidi apumzike kidogo ili mechi ya Arsenal awe fresh..pia anaweza kutumika kama sub baadae kama mechi itakuwa bado ngumu,but naamini kwa kikosi hicho kwa kwanza blades bado hawatafurukuta,utakuwa ni uzembe mkubwa sana tusipopata matokeo

✓Rashford hamna haja ya kumrush,atulie benchi.

✓Let's give Telles some minutes.

✓Martial yupo out of form vibaya sana,but let see anachoweza kufanya leo

✓Amad Diallo on the bench?????..ningefurahi iwe hivyo,seeing what Bukayo Saka is doing at Arsenal inanitamanisha pia kumuona Amad taratibu taratibu akiwa analetwa karibu na first team

GGMU

Mkuu timu umeacha bech hapo ila rashford,greenwood na martial wana rekod nzur sana tukicheza na hao shefield united atakae anza au kukaa bench poa ila ningependekeza greenwood aingie kipind cha pili martial,rashford na cavan waanze pogba yupo form kumuweka bench ni makosa hata kwa shaw
 
Back
Top Bottom