HahaaaaaaLeo West brom tunaanza na 6 3 1 formation![]()
Hawataamini leo tokeo 3-2Leo West brom tunaanza na 6 3 1 formation![]()
Sare inawahusuLeo West brom tunaanza na 6 3 1 formation![]()
Atarudi kama Pogba
Big Sam anaweza kutusuprise kwa pep!!!!
!!!!!
Unadhani ukiwachukia ndio wanafilisika? Wenyewe wako ulaya huko wanapiga hela. Hawana habari kuna hater anaitwa ollachuga.Yani hili litimu nalichukia kuliko hata harufu ya toilet..
Sisi tutahakikisha hamubebi kitu yeyote msimu huu..
Leo West brom tunaanza na 6 3 1 formation![]()


Naenda kustream game ya city kuona anavyoachia point, hakika sitajutia mb zangu hehehe
Tutakuona Leo ,Unaongoza kwa point moja unaita presha? Usichekeshe wasiocheka