Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Michael Owen says it was clear offside and the goal ought to have been ruled and if Manchester City wins a league because of this blunder it will be the saddest day in the EPL
Huyo shabiki wa man utd,lazima aoneshe mapenz yake hadharan ,bila kufikilia
 
Astonvilla wamenyanganywa mpira ,rodrigo yupo onside

Ule mpira ungemfikia moja kwa moja rodrigo basi ingekuwa clear offside ,kitendo cha beki yule kuwin mpira tayar hakuna haja ya off side kwan ni faida kwa villa

Yule beki anakaa na mpira mpaka ananyanganywa si offside ishakwisha

Legeza ubongo mkuu

Msipende kukaza kichwa ,kwa mtu anayejua mpira na kuangalia daily hawezi sema ile ni offside ,labda awe hajitambui
The point is,offside position yake imemsaidia kuwin mpira..maana alikuwa nyuma ya Mings..anyway tusibishane sana,maana hata kama sheria ndo ilivyo bado hai-make sense na inabidi itazamwe upya
 
Jack Grealish ni kiumbe anayehitajika kwenye hii timu yetu..

Ole sana inabidi apunguze reliance kwa Martial na Rashford..They have to earn their starting spot by giving absolutely pure class performance..Hatuwezi kuna na front three nyoronyoro vile na ukashinda mataji makubwa.
 
Rashford martial greenwood lingard are midtable team players , toka niijue man utd mwaka 1998 hawa ndio washambuliaji wa ovyo kuwahi kutokea
 
James Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?

Rashford sasa hivi ni kati ya wachezaji Ghali zaidi duniani, Ukitoa Mbape na Haaland kuna kinda Gani utasema ni mzuri kuliko Rashford?

Pia Greenwood anakuzwa Bado ila nafasi yake ni Mshambuliaji wa katikati, anachezeshwa pembeni sababu hakuna mtu kule, nafasi yake itakuja Europa Akue vizuri.

Na Martial pia Ana nafasi yake, japo yupo kwenye form mbovu ila bado ni mchezaji wa kutegemewa hasa uwezo wa ku hold ambao wachezaji wengi kule mbele Hawana.

Lingard Ana nafasi kama backup player kwa kikosi cha sasa.

Bado pia tu naweza kusajili hata wachezaji watatu zaidi kule mbele kwa kikosi chetu bila kuuza mtu.
 
Umesema kweli Mimi nalia na consistency ya ovyo ya hawa vijana wawili martial na rashford na ni regular starts inauma sana
 
Sijakuelewa kabisa na siwezi kukuelewa, eti Bruno hana skills, hii ni comment yako ambayo umetoa boko la mwaka.
1611214776939.png

mkuu nimeandika neno amenyimwa na si hana
  1. kunyimwa ni kupunguziwa kwa huku kwetu Zanzibar, kama huko upande wa pili neno kunyimwa linafanana na neno hana basi sawa nimeshajifunza tafsiri mpya.
============

1611216007811.png

andiko langu liliegemea zaidi kwenye hoja ya kupoteza mipira na si kwengineko, nitakuwa mpumbavu wa mwisho kama nitashindwa kuheshimu mchango mkubwa wa bruno tokea asajiliwe.

kuna tofauti ya kukosea na kuendelea kukosea kosa lile, ishu kubwa inayolalamikiwa na mashabiki wengi ukitembelea hizo thread nyenginezo kubwa duniani zinazojadili habari za manchester united mfano wa hii ni kushindwa kwake kureduce dangerous loss of possession at times.
=========================

njia ya kuja na majibu kama haya haiwezi kuhitimisha mjadala huu kwa amani
1611215548130.png

1611219342100.png

ombi kuelekea kwenu:
kuanzia leo tupeane jukumu la kumchunguza bruno fernandez (sote watatu) ni nyakati gani nyengine hupoteza mpira zaidi ukiachana na yale maamuzi yake ya haraka ya kupiga pasi iwe ni through ball, n.k.

Bruno Fernandes’ game by numbers vs. Fulham:
69 passes attempted
53 passes completed

35 final third passes
5 passes into the box
4 shots (1 on target)
4 ball recoveries
2 interceptions
2 tackles won
2 chances created
1 big chance created​

========================

kiupande wangu naamini naby keita na jack grealish ndio midfield waliojaaliwa skills zaidi kuliko bruno fernandez na KDB. Miguu ya hao jamaa inakupa uhakika wa kuzivunja timu zinazocheza low block kwa chenga zao, miguu yao inakupa uhakika wa kubypassing pressing ya timu kwa mikimbio yao (hapa muongeze matteo kovacic) ila utofauti wao unakuja kwenye maamuzi ya haraka (bruno na KDB ni bora zaidi eneo hilo).

nakaribisha mjadala wa kibusara zaidi
 
Attachments

  • 1611219310526.png
    1611219310526.png
    3 KB · Views: 5
Rashford martial greenwood lingard are midtable team players , toka niijue man utd mwaka 1998 hawa ndio washambuliaji wa ovyo kuwahi kutokea
Watu mnaomuongelea vby Greenwood huwa nawaona ni watu msioona mbali na msiojua wachezaji wazuri wakoje, mtoto mdg km Greenwood kwa mpira anaocheza na bado kuna mtu anamsema vby huwa nashangaa sana, kwa kifupi ninyi huwa nawaita washabiki-form yn mchezaji akicheza vzr mechi moja basi ni mchezaji mzr zen akiharibu mechi ijayo ni mbovu.

Kasumba hii ya kipuuzi ndiyo inayo tukost watz mpk leo hatuna timu za maana kwa ukosefu wa subira na papara km hz.
 
James Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?

Rashford sasa hivi ni kati ya wachezaji Ghali zaidi duniani, Ukitoa Mbape na Haaland kuna kinda Gani utasema ni mzuri kuliko Rashford?

Pia Greenwood anakuzwa Bado ila nafasi yake ni Mshambuliaji wa katikati, anachezeshwa pembeni sababu hakuna mtu kule, nafasi yake itakuja Europa Akue vizuri.

Na Martial pia Ana nafasi yake, japo yupo kwenye form mbovu ila bado ni mchezaji wa kutegemewa hasa uwezo wa ku hold ambao wachezaji wengi kule mbele Hawana.

Lingard Ana nafasi kama backup player kwa kikosi cha sasa.

Bado pia tu naweza kusajili hata wachezaji watatu zaidi kule mbele kwa kikosi chetu bila kuuza mtu.

Mkuu rashford mwaka wa ngapi huu yupo nyuma ya mbape?
 
Back
Top Bottom