Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game ya City jana ilikuwa inaenda kuwa draw..bado sikuelewa Jon Moss alifanyaje pale na Sheria inasemaje..Jamaa offside position si imemsaidia kuwin ball?
 
Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe

Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima

Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha

Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi

Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni

Ilikuwa offside na ww unabisha nini? Ingekuwa ndio hii timu wangepewa lile goli la silva si mngekesha humu
 
My prediction (Sunday, 24th January 2021) - FA CUP

Manutd 2-1 Liverpool or Manutd 1-1 Liverpool (FT)

BTTS

U3.5

1H (1-1) D

2H (1-0) H or (0-0) D

Cavani to score at any time in the first half

Ball possession

48% vs 52%

No red card

Yellow

Manutd 2 Liverpool 0

Corners

2 vs 4
 
Sioni kikosi cha kuifunga Fulham humu.. katafuteni sare!

Pweza mwenzio mtabir walimla supu kwa huu ukurupufu watu walitia mpunga wakaingia cha kike nakumbuka pia ng'ombe wa uholanzi alitabir ajax anamfunga manchester united final ya europa kilichotokea ng'ombe hadi leo hatoki zizini

Hadi muda huu fulamuuuuuu anaongoza 6 mkuu
 
Ilikuwa offside na ww unabisha nini? Ingekuwa ndio hii timu wangepewa lile goli la silva si mngekesha humu
Ndio maana nikasema tumia akili

Mpira umepigwa rodrigo yupo offside ,kibendelea hakunyosha kwan mpira walichukua astonvilla ,hivyo hakukuwa na haja ya kunyoosha kibendela ilikuwa faida kwa astonvilla

Kitendo cha rodrigo kumove mbele zaidi akakutana na beki wa villa in contact tayar kashaua offside yupo onside yule beki anakaa na mpira ,wanakabana na kumpokonya mpira, offside imeshakwisha tayar

Sasa unasema offside gani ,au huwa mnaangalia mpira live score

Nyumbu ni nyumbu tu ,angalia mpira vizur weka ushabiki mandazi pembeni

Mbona imerudiwa sana ile ,offside haikuwepo
 
Game ya City jana ilikuwa inaenda kuwa draw..bado sikuelewa Jon Moss alifanyaje pale na Sheria inasemaje..Jamaa offside position si imemsaidia kuwin ball?
Astonvilla wamenyanganywa mpira ,rodrigo yupo onside

Ule mpira ungemfikia moja kwa moja rodrigo basi ingekuwa clear offside ,kitendo cha beki yule kuwin mpira tayar hakuna haja ya off side kwan ni faida kwa villa

Yule beki anakaa na mpira mpaka ananyanganywa si offside ishakwisha

Legeza ubongo mkuu

Msipende kukaza kichwa ,kwa mtu anayejua mpira na kuangalia daily hawezi sema ile ni offside ,labda awe hajitambui
 
Hii mechi ya lini?
FA CUP Sunday, 24th January 2021.

IMG_20210121_085452_359.jpg
 
Astonvilla wamenyanganywa mpira ,rodrigo yupo onside

Ule mpira ungemfikia moja kwa moja rodrigo basi ingekuwa clear offside ,kitendo cha beki yule kuwin mpira tayar hakuna haja ya off side kwan ni faida kwa villa

Yule beki anakaa na mpira mpaka ananyanganywa si offside ishakwisha

Legeza ubongo mkuu

Msipende kukaza kichwa ,kwa mtu anayejua mpira na kuangalia daily hawezi sema ile ni offside ,labda awe hajitambui
Michael Owen says it was clear offside and the goal ought to have been ruled and if Manchester City wins a league because of this blunder it will be the saddest day in the EPL
 
Back
Top Bottom