Its coming home,see you at the parade.Rashford,Martial,Greenwood inabidi wapewe changamoto..hawajaset standard ya perfomance kabisa.
Pogba..World Class again
Fernandes..Good first half,a bit poor 2nd half
Shaw recently anaucheza mwingi sana shida ni final deliveries zake,sio nzuri.
Fred energy anayoweka katikati ni something else..
On top of the League table baby..Ole at the Wheel.
Wabongo kwa mbwembwe bhana, umechungulia analyst hukoo, unakuja hapa kujifanya mtaalam saana kumbe kiazi tuu.Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe
Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima
Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha
Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi
Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni
Huna adabu. Inaonekana umelelewa na mzazi mmoja. Huwezi kuchambua mpira mpaka utukane.Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe
Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima
Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha
Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi
Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni
Sio bonge la timu bali wachezaji.Sisi tunafungwa tu kwa sababu Lampard ni takataka..ila tuna boonge la timu..
Bisaka poor performance.Rashford,Martial,Greenwood inabidi wapewe changamoto..hawajaset standard ya perfomance kabisa.
Pogba..World Class again
Fernandes..Good first half,a bit poor 2nd half
Shaw recently anaucheza mwingi sana shida ni final deliveries zake,sio nzuri.
Fred energy anayoweka katikati ni something else..
On top of the League table baby..Ole at the Wheel.
Tumemfunga na tunaongoza ligi.Huna huo ubavu
Fulham akiwa kwenye form mtaambulia draw
Wew kwenye uzi wenu kule umekimbia, unakuja uku kwa watu ambao wapo juu ktk table, nenda hata nyuzi ya Asernal atleast bcoz ndio level zenuKwani ninyi mutafika wapi?
Huna adabu. Inaonekana umelelewa na mzazi mmoja. Huwezi kuchambua mpira mpaka utukane.
Kuna sehemu nimeongelea offside hapo? Au unajigonga tu.
Ungeuliza naongelea nini.

nakuzid kuangalia game za epl ninauhakika ,kama wewe unaangalia live score ndio unakuja kupayuka huku pambana na hali yako .Wabongo kwa mbwembwe bhana, umechungulia analyst hukoo, unakuja hapa kujifanya mtaalam saana kumbe kiazi tuu.