Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kati ya Lampard na Ole nani mkali?
Nazungumzia lampard.. nazungumzia chelsea. Sijamzungumzia ole. Usijaribu kuhamisha mada.

Lampard hachezi mpira.. unamtupia lawama zote wkt wachezaji kule hawaonyeshi hata bidii.
Angalia barcelona walivyo. Yule kocha si wa viwango vyao.. lakin wachezaji ndio wanaibeamba ile timu japo kwa shida.
 
Watu mnaomuongelea vby Greenwood huwa nawaona ni watu msioona mbali na msiojua wachezaji wazuri wakoje, mtoto mdg km Greenwood kwa mpira anaocheza na bado kuna mtu anamsema vby huwa nashangaa sana, kwa kifupi ninyi huwa nawaita washabiki-form yn mchezaji akicheza vzr mechi moja basi ni mchezaji mzr zen akiharibu mechi ijayo ni mbovu.

Kasumba hii ya kipuuzi ndiyo inayo tukost watz mpk leo hatuna timu za maana kwa ukosefu wa subira na papara km hz.
Nimeshtuka sana alipomjumuisha Mason Greenwood hapo ktk maoni yake. Hawa ni aina ya mashabiki ambao hata timu ikiwa inafanya vibaya hawaangalii mpira.

Huwa nikimuangaliaga huyu dogo nafarijika sana kuwa tuna kipaji kama kile kikubwa sana kikosini kwetu.
 
Mkuu, hiyo taka taka humu huwa hatuijibu kabisa.
Ukiijibu hiyo ni sawa na kuchezea koki ya maji taka, lazima uchafuke tu.
Kwanza humkuti kule kwenye jukwaa lao, yenyewe ni kudanga tu kwenye majukwaa ya wenzie.

Ndio maana me kuna siku nilimuuliza ni wajinsia gani?
Hahahahahahaa
 
Jack Grealish ni kiumbe anayehitajika kwenye hii timu yetu..

Ole sana inabidi apunguze reliance kwa Martial na Rashford..They have to earn their starting spot by giving absolutely pure class performance..Hatuwezi kuna na front three nyoronyoro vile na ukashinda mataji makubwa.
Hasa hasa Anthony Martial huyu ana mbadala eneo analocheza kwangu mimi huyu hapaswi kuwepo kikosi cha kwanza. Huyu anapaswa agombee namba na Rashford upande wa kulia.

Kwa maoni yangu mimi kwa sasa inapaswa pale mbele wacheze Rashford Cavani Greenwood. Upande kushoto Rashford hana mshindani sahihi kwa wachezaji tulionao pale kikosini kwa sasa.

Upande wa kulia endapo kocha atatumia viungo wawili wa kukaba basi Paul anaweza kuanza mbele ya Mason. Option nyingine ni Mata eneo hili la kulia.
 
Hapana Rashford Ana thamani kuliko Sancho,

Hizi ni Data za Cies, kampuni ya Utafiti ya Michezo.
View attachment 1682735
Wamemueka Rashford kama mchezaji Ghali zaidi Duniani.

Factor walizoweka consideration
1. Perfomance
2. Mkataba wa sasa
3. Nchi na Timu anayochezea.

Tunaweza ku argue wapo wrong ila kiuhalisia hata kama Sancho amemzidi rashford gape si kubwa na hata kama Rashford amemzidi Sancho pia gape sio kubwa.

Rashford yupo on course kuvunja Record ya Rooney kama Mfungaji wetu bora zaidi, so far goli 80 anazo na ndio kwanza amecheza kama Robo tu ya Career yake.
Hahahaaaa, mzee wa statistics, yn Mkwawa akikuambia kitu usibishe mana ni lazima atakuletea stats zake from Taured
 
Nimeshtuka sana alipomjumuisha Mason Greenwood hapo ktk maoni yake. Hawa ni aina ya mashabiki ambao hata timu ikiwa inafanya vibaya hawaangalii mpira.

Huwa nikimuangaliaga huyu dogo nafarijika sana kuwa tuna kipaji kama kile kikubwa sana kikosini kwetu.
Cha kushangaza ni kwamba huyu mtoto hachezi hovyo na wala hapotezi mipira anaficha mpira na hana maringo, akipata nafasi huwa anafunga tena wkt mwingine ni angle ngumu ila bado anakwambia eti ni hovyo, anataka kumpa majukumu makubwa mtoto mdogo, anataka awe anafunga kila mechi pasipo kujiuliza anacheza nafasi gn.

Jamaa wa ajabu sana.
 
Chelsea muwe mabingwa. Pale top 4 wakiwa wamelala au ? Fikieni top 4 kwanza. Unataka top 4 uko nafasi ya 8.
Huu msimu nakwambia tunabeba hili kombe ..amini kwamba
Angalia liverpool anatobolewa kwake ..wewe ukifika mwisho wako wa kutamba ..naanza mimi ..nikianza mimi ndo hadi mwisho kisha nanyanyua kwapa...

Naona Chelsea bingwa msimu huu 20/21 nani anabisha??
#CFC
 
Back
Top Bottom