Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

James Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?

Rashford sasa hivi ni kati ya wachezaji Ghali zaidi duniani, Ukitoa Mbape na Haaland kuna kinda Gani utasema ni mzuri kuliko Rashford?

Pia Greenwood anakuzwa Bado ila nafasi yake ni Mshambuliaji wa katikati, anachezeshwa pembeni sababu hakuna mtu kule, nafasi yake itakuja Europa Akue vizuri.

Na Martial pia Ana nafasi yake, japo yupo kwenye form mbovu ila bado ni mchezaji wa kutegemewa hasa uwezo wa ku hold ambao wachezaji wengi kule mbele Hawana.

Lingard Ana nafasi kama backup player kwa kikosi cha sasa.

Bado pia tu naweza kusajili hata wachezaji watatu zaidi kule mbele kwa kikosi chetu bila kuuza mtu.
Rashford hana thaman hyo wwe... Sancho tu mwenyew ana thaman kuliko rashford
Kinachombeba rashford ni Kampeni zake nje ya uwanja otherwise Rashford ni Nchimbi aliechangamka
 
Mkuu, hiyo taka taka humu huwa hatuijibu kabisa.
Ukiijibu hiyo ni sawa na kuchezea koki ya maji taka, lazima uchafuke tu.
Kwanza humkuti kule kwenye jukwaa lao, yenyewe ni kudanga tu kwenye majukwaa ya wenzie.

Ndio maana me kuna siku nilimuuliza ni wajinsia gani?
Huna adabu. Inaonekana umelelewa na mzazi mmoja. Huwezi kuchambua mpira mpaka utukane.
Kuna sehemu nimeongelea offside hapo? Au unajigonga tu.
Ungeuliza naongelea nini.
 
Throw back
1611242786049.jpg
 
Rashford hana thaman hyo wwe... Sancho tu mwenyew ana thaman kuliko rashford
Kinachombeba rashford ni Kampeni zake nje ya uwanja otherwise Rashford ni Nchimbi aliechangamka
Hapana Rashford Ana thamani kuliko Sancho,

Hizi ni Data za Cies, kampuni ya Utafiti ya Michezo.
AG-MOST-EXPENSIVE-PLAYERS.jpg

Wamemueka Rashford kama mchezaji Ghali zaidi Duniani.

Factor walizoweka consideration
1. Perfomance
2. Mkataba wa sasa
3. Nchi na Timu anayochezea.

Tunaweza ku argue wapo wrong ila kiuhalisia hata kama Sancho amemzidi rashford gape si kubwa na hata kama Rashford amemzidi Sancho pia gape sio kubwa.

Rashford yupo on course kuvunja Record ya Rooney kama Mfungaji wetu bora zaidi, so far goli 80 anazo na ndio kwanza amecheza kama Robo tu ya Career yake.
 
Mkuu rashford mwaka wa ngapi huu yupo nyuma ya mbape?
Msimu huu so far Rashford ame perform vizuri, at least champions league

Champions league
-Rashford kaanza mechi 5 goli 6
-mbape mechi 5 nae ana goli 2 na assist 3

Hivyo Rashford contribution 6 na Mbappe 5, na uzuri wamekutana Mechi 2 ambazo Rashford alimfunika mbappe hasa mechi ya Paris.

Kwenye ligi
-Rashford goli 7 na assist 5 contribution 12
-mbape goli 12 na assist 5 contribution 17

Mbape yupo vizuri zaidi kwenye farmers league.

Na uzuri WA rashford kama nusu ya Magoli yake ni Against Top teams, Hili ni jambo rare na la thamani zaidi kuliko mtu anaepiga Hattrick vitimu vidogo.
 
Back
Top Bottom