Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,055
Wewe siyo mwenzetu Pogba vs Drinkwater are u serious?
Drinkwater mzuri kuliko pogba. Cha mushimu anywe maji kabla ya gemu
Wewe siyo mwenzetu Pogba vs Drinkwater are u serious?
Uzi wetu una mamluki wengi sana.Drinkwater mzuri kuliko pogba. Cha mushimu anywe maji kabla ya gemu
Hata akifunga ni bure...mechi 9 unacheza dakika 90 zote unafunga goli moja !!!!Martial atafunga leo ndiyo utaanza kumwelewa OGS
Naona OGS kafanyia kazi mawazo yetuRonaldo wetu kapumzika leo haha maana naona kachoka sana bwana Rashid acha apashe benchi kidogo labda maamuzi yake ya kijinga yanasababishwa na uchovu.
Marefa wanaharibu EPL ?????HahahahahahahahahMarefa wanaharibu EPL. Goli la kwanza la City ni offside ya wazi. Halafu VAR hakuna hata kuangalia.
Sijakuelewa kabisa na siwezi kukuelewa, eti Bruno hana skills, hii ni comment yako ambayo umetoa boko la mwaka.Bruno Fernandes bado hajaonyesha dalili za kuchoka kimwili ila aina ya uchezaji wake ndio unawafanya mashabiki wawe na imani ya kwamba huenda jamaa ameshachoka na anahitaji mapumziko japo ya mechi mbili, binafsi naamini hata kama itatokezea bruno amepewa mapumziko ya mechi tano mfululizo bado nina imani atarudi na aina ile ile ya uchezaji wake tuliouzowea.
kwanza bruno amenyimwa skills na uimara ndio maana hana uwezo wa kukaa na mpira akiwa kwenye presha ya adui na utofauti wake dhidi ya KDB unaanzia hapo licha ya kwamba wote ni risk takers (KDB hana skills kama iniesta lakini bado ana uwezo wa kuddrible dhidi ya mchezaji mmoja hadi wawili akiwa kwenye presha kubwa).
Ukitaka kumdhibiti bruno apply pressing kwake kama walivyofanya arsenal, liverpool na manchester city. Ukitaka bruno akuadhibu ruhusu gape kati ya mstari wako wa ulinzi na kiungo na wakati huo huo umeruhusu space kubwa ya wachezaji wa timu pinzani (hapo utaombea rashford na martial wapoteze nafasi kisenge huku wakisingizia uimara wa kipa)
bruno ni mchezaji ambaye hathamini possession (careless in possession) ila kwa kuwa amejificha kwenye kivuli cha risk takers imefikia hatua hata benchi la ufundi linaimbishwa wimbo huu na tatizo hili nakumbuka lilizungumzwa hata na scouts wa timu kabla ya usajili wake kughairishwa kwenye dirisha kubwa la usajili uliopita (accuracy pass takwimu zake ni mwendo wa 75%). Muda wote anapokuwa na mpira yeye anawaza attempts ndio maana baadhi ya nyakati hufanya maamuzi yasiovumilika kwa jicho la kawaida (hili tatizo linatatulika kama atasimamiwa na makocha au timu zinazoamini possession mfano guardiola, fc barcelona na hata louis van gaal na man utd yake)
mfano baadhi ya nyakati anaweza kupiga through ball akiwa eneo letu akiamini mchezaji wetu anaweza kukimbia eneo husika, muda mwengine anaweza kupiga pasi eneo ambalo limetawaliwa na walinzi wa timu pinzani akiamini pasi hiyo inaweza kuvuka lines ya safu ya ulinzi, huku akisahau ya kwamba kumbe ana uwezo wa kupiga pasi ya kawaida kwa mchezaji mwenzake aliyekaribu na kuifanya timu imiliki mpira na hatimaye kutengeneza mikimbio ya hatari (lakini hii itategemea na aina ya wachezaji waliomzunguka, mfano hawa kina mc'tominay, henderson, fred, fernandinho si waumini wa progressive pass ndio maana huenda hawa KDB na bruno muda mwingi huwaza kupiga mpira mbele wakiamini wataweza kutengeneza nafasi kuliko square pass)
=======================
Hao wanamuongelea Fernandes as if wanamuongelea Fletcher, eti hana skills, kila mchezaji ana style yake ya uchezaji, kukosea ni kawaida kwenye soka hata cr7 huwa anakosea na huwezi kusema eti hana skills, kwa wasiojua tu ni kwamba Bruno bado ana mengi ya ku offer na hizo skills wanazotaka pia anazo na ameonesha mara kibao tu, passing style yake ni on steroids, umiliki wake wa mpira uko vzr, ss unaanzaje kuropoka ropoka tu ovyo ovyo eti hana skills, nmewashusha sn hao jamaa.siafiki ukosoaji wako kwa fernandez
inapaswa ufahamu mkuu kwamba sio kila match ataperform kwa 100%

HuuBruno Fernandes bado hajaonyesha dalili za kuchoka kimwili ila aina ya uchezaji wake ndio unawafanya mashabiki wawe na imani ya kwamba huenda jamaa ameshachoka na anahitaji mapumziko japo ya mechi mbili, binafsi naamini hata kama itatokezea bruno amepewa mapumziko ya mechi tano mfululizo bado nina imani atarudi na aina ile ile ya uchezaji wake tuliouzowea.
kwanza bruno amenyimwa skills na uimara ndio maana hana uwezo wa kukaa na mpira akiwa kwenye presha ya adui na utofauti wake dhidi ya KDB unaanzia hapo licha ya kwamba wote ni risk takers (KDB hana skills kama iniesta lakini bado ana uwezo wa kuddrible dhidi ya mchezaji mmoja hadi wawili akiwa kwenye presha kubwa).
Ukitaka kumdhibiti bruno apply pressing kwake kama walivyofanya arsenal, liverpool na manchester city. Ukitaka bruno akuadhibu ruhusu gape kati ya mstari wako wa ulinzi na kiungo na wakati huo huo umeruhusu space kubwa ya wachezaji wa timu pinzani (hapo utaombea rashford na martial wapoteze nafasi kisenge huku wakisingizia uimara wa kipa)
bruno ni mchezaji ambaye hathamini possession (careless in possession) ila kwa kuwa amejificha kwenye kivuli cha risk takers imefikia hatua hata benchi la ufundi linaimbishwa wimbo huu na tatizo hili nakumbuka lilizungumzwa hata na scouts wa timu kabla ya usajili wake kughairishwa kwenye dirisha kubwa la usajili uliopita (accuracy pass takwimu zake ni mwendo wa 75%). Muda wote anapokuwa na mpira yeye anawaza attempts ndio maana baadhi ya nyakati hufanya maamuzi yasiovumilika kwa jicho la kawaida (hili tatizo linatatulika kama atasimamiwa na makocha au timu zinazoamini possession mfano guardiola, fc barcelona na hata louis van gaal na man utd yake)
mfano baadhi ya nyakati anaweza kupiga through ball akiwa eneo letu akiamini mchezaji wetu anaweza kukimbia eneo husika, muda mwengine anaweza kupiga pasi eneo ambalo limetawaliwa na walinzi wa timu pinzani akiamini pasi hiyo inaweza kuvuka lines ya safu ya ulinzi, huku akisahau ya kwamba kumbe ana uwezo wa kupiga pasi ya kawaida kwa mchezaji mwenzake aliyekaribu na kuifanya timu imiliki mpira na hatimaye kutengeneza mikimbio ya hatari (lakini hii itategemea na aina ya wachezaji waliomzunguka, mfano hawa kina mc'tominay, henderson, fred, fernandinho si waumini wa progressive pass ndio maana huenda hawa KDB na bruno muda mwingi huwaza kupiga mpira mbele wakiamini wataweza kutengeneza nafasi kuliko square pass)
=======================

ni uchambuzi uchwara kabisa na kukosa heshima+shukrani.