mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,698
- 9,051
Huyu hajui mpira shaw ndo alikuwa bora kuliko woteIla mpira watu tunauona kwa macho tofauti asee.
Huyu hajui mpira shaw ndo alikuwa bora kuliko woteIla mpira watu tunauona kwa macho tofauti asee.
Inaonekana unaumia sana UTD ikiongoza ligi.. pole sanaVip bado mnaongoza league au tusubili kwanza
Hapa ndio nitaona ,je ole ana pumzi ?
Huna huo ubavuKiti chetu tumemwachia leicester anafuta vumbi kutwa ya leo then usiku tunakikalia tena. Au nasema uongo ndugu zangu?
LVG ndo alkua bingwa wa hizi adhabu.Tupo kipindi ambacho hatutakiwi kufanya ujinga kabisa kama kweli Ole anataka kubaki juu ya msimamo wa EPL
Rashford nitampumzisha leo..iwe pia sehemu ya kumhadhibu.Asidhani yeye ni tayari CR7
My starting XI vs Fulham;
==================
De Gea
AWB Bailly Maguire Shaw
Matic Pogba
Greenwood Fernandes Martial
Cavani
===================
GGMU
Kweli mdau ndio maana mi nasemaga mchambuzi bora kwangu wa michezo hapa nchini ni yule anaelichambua vyema soka la bongo maana hakuna source yoyote inayompa madini zaidi ya yeye kuumiza kichwa kuyapata huko kwenye vilabu na mahojiano mbalimbali....ila na uelewa uwepo kinyume chake utasoma na kuangalia picha tu
Hilo ndio lilikua lengo lake...Kuna ule utaratibu wa ambangile wa kila jumatatu kiasi fulani ulitaka kufanana na makala za eric
Sisi jana tumepigwa na Leicester
Nyie mutawaweza Leicester?
Basi kama walichomoa ina maana kama zingeongezwa dakika basi mngekalishwa tu.Hahaha mzee naona umechanganyikiwa pole.
Leicester hajawahi kutuweza hata kidogo juzi juzi tu.
Kachomoa sare na kushagilia kichizi.
Kuna ikiisha inaongezwa dakika? Mechi iliisha ile.Basi kama walichomoa ina maana kama zingeongezwa dakika basi mngekalishwa tu.
Leicester ni khabari nyingine mkuu.
#LeicesterChamaKubwa.
Halafu mtu akiweka orodha ya timu za top 6 unakuta chelshit nayo ipo,huwa nashangaa sana.Sisi jana tumepigwa na Leicester
Nyie mutawaweza Leicester?
Wewe jamaa mbona kama matokeo ya jana yamekuchanganya akili, naona kabisa una kila dalili za kufanya suicideSisi jana tumepigwa na Leicester
Nyie mutawaweza Leicester?
Top 6 mpo? Naona unamsifia sana licester.Basi kama walichomoa ina maana kama zingeongezwa dakika basi mngekalishwa tu.
Leicester ni khabari nyingine mkuu.
#LeicesterChamaKubwa.
Sisi jana tumepigwa na Leicester
Nyie mutawaweza Leicester?