Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
You are right Nzi, nakuunga mkono kwa 100%,nadhani ni kwasababu ya tabia ya liverpool kupenda kujitoa mhanga.Katika mashabiki wa Liverpool ninaowafahamu, waarabu ndiyo wengi; waarabu pure na waarabu chotara. Pia hata nikienda kuangalia mpira kwenye pubs na joints mbalimbali za kuangalia michezo, waarabu ndiyo uwa nawaona kushabikia Liverpool.
Huu ni mtazamo wangu tu. Wala haimaanishi kwamba ni sahihi kusema waarabu ndiyo washabiki wengi wa Liverpool hapa bongo.
Last edited by a moderator: