EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Sasa kama uwa uangalii mechi zote za United, usiwe unatoa matamshi kama uliyotoa...
Game nyingine, tulifungwa 3-2 na Blackburn Rovers waliokuwa wanashuka daraja...ni games nyingi tu...
So there isn't a need to make a fuss out of the loss. That's the beauty of football in England.
Timu inaweza kucheza vizuri na kufungwa 3-2 au kufungwa 2-1 kwa kucheza vibaya.
Hata hivyo, hatuwezi kuchukuwa matokeo mabaya ya nyuma kuhalalisha matokeo mbaya ya leo.
Man Utd walicheza vibaya sana leo. Siyo kawaida yao hasa wakiwa nyumbani.