Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Standing Hero
988321_10151715644242746_673725831_n.jpg
Na huyu ilikuwa mtuuzie,mngelia mee!
 
Dah leq WBA wamesakata kabumbu safi jamani tuache masihara,,..mpaka commentators wameshindwa kuweka Ball Possession...ni kimeo bundi kawika OF
 
Nonetheless, Moyes is in shock. Nimemwona kwenye post-match interview kama vile ka-panick.

That's is what comes with managing big teams. You're not expected to loose sort of games like these.

Moyes is going crasy aiseeee!! Big headache!!
 
Look who is talking?!? Ingekuwa mashabiki ndiyo waamuzi Wenger angekuwepo kweli leo? Toka lini mashabiki pale Emirates wamemzomea Wenger na timu, lakini aliendelea kuwepo?!?

Of all people, Arsenal's fans shouldn't say what you have said chifu...

Kwa trend ya leo, Emirates pia waangalie sana,wanaweza kuaibika....mark my word!! I biliv in Arsenal
 
Yeah!!!...tell us about this Mkuu Nzi 🙂🙂...this man should not be trusted at all.

Chifu, labda kama unaongea kufurahisha jukwaa..ukweli unaufahami juu ya nani mwamuzi wa mwisho..na Arsenal na Wenger mfano mzuri sana...

Hiyo picha ni kawaida...how many times Wenger ashakuwa kwenye pozi kama hilo?!?

It is tormenting to lose a game when you are managing the biggest club in UK!! But that has nothing to do with being sacked. It has never been United's way od doing things.

Done with this.
 
Biashara asubuhi banaaa jioni kuhesabu faida Mkuu...hata wacheza wanakosa confidence kwa kuvujisha 3 points kila baada ya mechi hukuwaona walivyonyong'onyea Mkuu!? ukija kustuka aliyekuwa juu kakuacha kwa 20 points...unadhani utaweza kufurukuta!?...Siku zote nyota njema huonekana asubuhi banaaa.

Jamani league bado mbichi sana. Underestimate ManU at your own peril
They will bounce back! Poleni watani. Bado so far the epl title is for ManU to loose.
Ngoja nikamwangalie Johnnie Football and Texas A&M
 
Mkuu Nzi msome tena Mkuu EMT hapa chini..labda unaweza kuelewa somo 🙂🙂

Lakini mashabiki walikuwa wanapiga kelele "change, change change, time for change".

Sijawahi kuona man utd wanacheza vibaya vile at old trafford.
 
Last edited by a moderator:
Nonetheless, Moyes is in shock. Nimemwona kwenye post-match interview kama vile ka-panick.

That's is what comes with managing big teams. You're not expected to loose sort of games like these.

It is normal to be in shock if you are losing two consecutive games as a manager of the biggest club in UK.

But has nothing to do with being sacked...it might happen if the boardroom losses faith in David.
 
Mkuu mashabiki wa Arsenal walianza kuwasha moto wa chini chini miaka lakini moto huo ulipokuwa mkubwa Board room haikuwa na jinsi ila kuonyesha mashabiki kwamba kilio chao kimesikika. Kwa jinsi ninavyoifahamu boardroom ya MANU sidhani kama inaweza kuvumilia muda mrefu kama ile ya Gunners. Wamezoea amani hawa kwa miaka mingi sasa hivyo kelele kidogo wanaanza kuhaha huku na kule kutafuta suluhisho...let's wait and see the performance of your team for the next few weeks.

Look who is talking?!? Ingekuwa mashabiki ndiyo waamuzi Wenger angekuwepo kweli leo? Toka lini mashabiki pale Emirates wamemzomea Wenger na timu, lakini aliendelea kuwepo?!?

Of all people, Arsenal's fans shouldn't say what you have said chifu...
 
Mkuu Nzi msome tena Mkuu EMT hapa chini..labda unaweza kuelewa somo 🙂🙂

Chifu, nakujibu kwa mara ya mwisho kuhusu hili suala.

Mashabiki katika kijisection kimoja pale OT (East End) hawawezi kuwa ndiyo waamuzi juu ya uwepo wa Moyes pale OT! Nimekupa mfano wa jinsi Wenger na timu yake walivyokuwa wanazomewa pale Emirates, lakini unajitoa akili kwa kutoliongelea hilo.

EMT hafahamu chochote kuhusu United. Hii si mara ya kwanza United kucheza vibaya OT; it has happened many times. Recently, with 6-1 loss to Man City; 4-1 loss to Liverpool, 3-2 loss to Athletic Bilbao etc.

Sasa yeye anakurupuka tu bila kuwa na uhakika na anachokisema...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

Hehehe he hehe. Inawezekana hizo mechi sikuziona lakini kusema kweli leo Man Utd didn't turn up at all.

Labda Nani, but wengine hapana.
 
Hehehe he hehe. Inawezekana hizo mechi sikuziona lakini kusema kweli leo Man Utd didn't turn up at all.

Labda Nani, but wengine hapana.

Sasa kama uwa uangalii mechi zote za United, usiwe unatoa matamshi kama uliyotoa...

Game nyingine, tulifungwa 3-2 na Blackburn Rovers waliokuwa wanashuka daraja...ni games nyingi tu...

So there isn't a need to make a fuss out of the loss. That's the beauty of football in England.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Moyes afukuzwe haraka. Haya mambo ya kufungwa waachiwe Arsenal na wenzao.

Ni maoni yako arifu..hukatazwi kusema hivyo...lakini kama wewe ni mshabiki wa kweli wa United, inabidi uwe hivyo timu inaposhindwa, inaposhinda na inapodroo.

Huwezi kumfukuza kocha uliyempa mkataba wa miaka 6, baada ya michezo 6 tu!!
 
Washabiki wa kweli ni wachahche wengi wanashabikia kwa ajili ya makombe tu, Timu ikifungwa inakuwa tabu
 
Man united wamefuliaaaaaaaaaaa
 
Attachments

  • 1380390100575.jpg
    1380390100575.jpg
    84.3 KB · Views: 62
Back
Top Bottom