VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
Kama chikosei wewe ni loser fools chacha tangu EPL ianzishwe (katika hii format) ni lini mlichukua huu mtanange wa EPL? Just asking!
Na wewe lini umechukua Champions League?
Kama chikosei wewe ni loser fools chacha tangu EPL ianzishwe (katika hii format) ni lini mlichukua huu mtanange wa EPL? Just asking!
Na wewe lini umechukua Champions League?
watu wamekuwa westbromwiched pale pale old t.o.i.l.e.t
Watu wamekuwa Westbromwiched pale pale OLD T.O.I.L.E.T
Ha ha ha! Kwa timu ipi?
Tunachukua mwaka huu. Any more questions?
Ha ha ha! Kwa timu ipi?
Ukichukua CL mwaka huu basi Chadema watatwaa nchi in 2015
Mkichukua CL mwaka huu kwa timu hii basi nitambaka mama yangu mzazi na nitamzawadia Gang Chomba $$$$Mbona mwaka jana Chelsick walichukua kwa rupia na litimu libovu itakuwa Gunners wanaotambulika kwa soka murua .... .. wivu tu, (CL ni sadakarawe) bado utazoea kama ulivyozoea kutokuchukua EPL how many years now? Hebu tukumbushe. khe khe keh keh khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkichukua CL mwaka huu kwa timu hii basi nitambaka mama yangu mzazi na nitamzawadia Gang Chomba $$$$
I stand by my statement. It's impossible for Ass-Anal to win the UEFA Champions League title this year with this squad.Hilo linaonyesha ni kijana/binadamu wa aina gani ambaye anaweza kusema these type of words, absolutely disgusting phew!. Pole sana, nakuombea kwa mwenyezi mungu akusaidie katika maisha yako. Again I do not need to say anything to you as you have shown your character and what type of a person you are.
Tunachukua mwaka huu. Any more questions?
Hii kali aiseee dah! Wacha chacha waende kule kwa Shakhtar Donetsk ndipo watakapokoma ubishi, huyu nzi mwenyewe atanywea tu anafikiri EPL plus CL ni togwa. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW Nzi anataka ku-justfy matokeo mabovu ya timu yake anaanza kuleta litany na mashairi ya alfulela ulela khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee hafahamu hakuna anayesoma ngonjera hapa only and only if its news worth. Crisis what crisis?
Sawa....uwe unakuja pia kuweka picha kwenye games zetu zote. Nitaongea na mfarisayo na Belo ili tukupe ajira ya kutuwekea mafotoz humu. Naona siki za hivi karibuni umeonekana kufanya vizuri katika kuweka fotoz humu.
Arifu hujalazimishwa kusoma hizo ngonjera....ni maalumu kwa United's loyal fan!
Are a United loyal fan? If not, why the heck did you read the piece?
Hii kali aiseee dah! Wacha chacha waende kule kwa Shakhtar Donetsk ndipo watakapokoma ubishi, huyu nzi mwenyewe atanywea tu anafikiri EPL plus CL ni togwa. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW Nzi anataka ku-justfy matokeo mabovu ya timu yake anaanza kuleta litany na mashairi ya alfulela ulela khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee hafahamu hakuna anayesoma ngonjera hapa only and only if its news worth. Crisis what crisis?
Hakuna ubishi kwamba David Moyes alitambua kiatu anachopewa kukivaa badala ya SAF ni kikubwa mno. Siyo Moyes tu, kocha yeyote ambaye angepewa kurithi mikoba ya SAF pale OT, lazima apate tabu mwanzo. SAF alijenga himaya ya mashabiki waliozea mambo matamu mara kwa mara...katika kipindi alichokaa pale na mafanikio aliyoyapata pale ni ndoto kwa kocha kuja na kutaka kuyapata mafanikio kama yale kwa kipindi kifupi. Ndiyo maana wakati wa hotuba yake ya mwisho pale OT, SAF alisema kitu kimoja cha muhimu sana kwa mashabiki, nacho ni kumuunga mkono na miguu kocha mpya, David Moyes. Mashabiki wa ukweli wa United ndiyo tunachokifanya sasa kwa Moyes. Manchester United ni klabu kubwa mno, haya yanayotokea sasa yatatulia tu! Kwa muda aliokaa pale OT, ni sawa kabisa kuna na 'kitu cha ziada'. Miaka 26 katika timu moja siyo mchezo mazee....hilo halina mjadala...kitu hicho ndicho kinampa shida sasa Moyes, kuestablish authority pale OT na kwa wachezaji pia, ili hadi janitor pale OT ajue who is the boss!! Kwa bahati mbaya, toka zama za premier league zianze, hilo halijawahi kuwa lengo la Man United. Na sioni sababu ya msimu huu kuwa na lengo kama hilo. Vijitimu vidogo ndio uwa na maleno kama hayo, eti kumaliza top 4!!! Manchester United siku zote ni title contender, na itabaki kuwa hivyo daima. Msilete sababu za kufananisha zama za Liverpool; kipindi kile mazingira yalikuwa tofauti mno na sasa. Sasa mpira unatawaliwa na: (1) uwezo wa kujenga timu kuanzia kwenye academy (United wamekuwa wakifanya hivyo toka mwaka 1936, ambapo kila mwaka lazima zao/mazao ya academy yaingie kwenye first team); (2) uwezo wa kipesa wa kununua world class players (United being one the richest clubs in the world, has money to buy top players, ni jambo la Edward Woodward kujifunza tu namna ya kucheza siasa za transfer targets and activities; (3) uwezo wa idara ya marketing za clubs katika kumarket timu kwa wadhamini na sales za merchandises za timu (United wapo vizuri katika hili, ndiyo sababu ya Woodward kuwa promoted, alikuwa executive officer katika idara ya marketing na ali-attract wafadhili wengi waliokuja na deals za kufa mtu kwa timu; pia katika sales, United is one of the leading teams in the world with more sales in their merchandises). Hivyo kwa hali ilivyo United, sioni sababu za kuhofia yaliyoikuta Liverpool!! United is bouncing back soon! Watch out this space!
Poleni sana wazee wa OT (Old Toilet)........haha haaaaaaaaaaaaa.....
Eti hawashikiki! Sasa wanakamatwa kiulaini kama kuku wa kisasa.