Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo lenu uwa mnaonekana kwa msimu tu. Sasa ndiyo mnajazana humu; badae mtaanza kujifanya mpo bize!

Muwe mnakuwepo siku zote; kwa nini mkimbie?!?

Mkuu Nzi mbona huna amani? Vipigo ni sehemu ya matokeo ya mpira.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nadhani David Moyes anastahili lawama kwasababu zifuatazo.

Alipokabidhiwa mikoba na Sir Alex kwanza alitakiwa asikubali kuwaacha makocha wenye uzoefu wa muda mrefu kama Rene Meulensteen,Mike Phelan na Erick Steele.Hii ilikuwa roho ya Sir Alex kwa ujinga wake David Moyes akakimbilia kuanza na bench la waalimu wasiokuwa na ujuzi na uzoefu Phil Neville na Ryan Giggs !.Hili kwangu lilikuwa ni kosa kubwa kuliko makosa ninayoyaona wakifanya baadhi ya wachezaji.


Akina Phelan waliondoka wenyewe baada ya SAF kustaafu. Hapo siwezi kumlaumu Moyes kwani mara nyingi managers uwa na coaching staffs wake. Pengine walipenda kuondoka wakijua Moyes atakuja/atataka jeshi lake. Pengine waliamua kuondoka na legacy ya SAF! Wao ndiyo wanafahamu sababu!

Pili Moyes mara kadhaa timu inapozidiwa dhahiri anashindwa kufanya mabadiliko ya haraka.Mfano mechi na Man City Ashley Young na Valencia walitakiwa kubadilishwa haraka lakini waliachwa waendelee kuzamisha jahazi.

Hapa ni kweli. Lakini kuna nyakati hata SAF alikuwa akichelewa sana kufanya mabadiliko kwenye mechi ambayo hata mshabiki uliye Keya unaona kuna haja ya mabadiliko kufanywa. Hapa simlinganishi Moyed na SAF. Ila nasema kwenye soka utokea mambo kama hayo; saa zingine hiyo tactic inafaulu, saa zingine inafeli!
Naamini Moyes atajifunza zaidi kuwa kwenye klabu kubwa!!

Tatu Moyes ameshindwa kuhandle press conference hasa timu inapofanya vibaya,amekuwa akitoa matamshi ya kuwaponda wachezaji kwamba wanacheza chini ya kiwango lakini anasahau kikosi alichorithi kilichukuwa ubingwa wa EPL !.

Mimi hilo naliona sawa. Hivi hawa wachezaji (ukiondoa Fellaini, Januzaj na Zaha) si ndiyo waliokuwepo toka mwaka jana? Sasa nini kimewafanya wachezaji kwa kutojituma?! Saa zingine kuwasema wachezaji na kusema hawajacheza vizuri kabisa ni sawa mno! Nafikiri Moyes amesikia critics wa Uingereza, walioanza kumponda kwa kuwaogopa wachezaji kwa kutowaambia na kuwakaripikia pale wasipocheza vizuri. Nafikiri unafahamu katika hili, SAF hakutaka masihara, kwani hata kiatu utakila husipocheza vizuri. Hivi unajua ya kwamba pamoja na ukimya na upole wa Scholes, yeye na Giggs walikuwa ni wachezaji waliogombezwa sana na SAF!!!

Nne Moyes alishindwa kufanya usajili wa maana wakati muda wa kufanya usajili alikuwa nao.isitoshe alikuwa ana nafasi ya kumsajili Fellaini kwa fedha pungufu 4 milioni lakini alisubiri hadi dakika za mwisho akamsajili kwa bei kubwa wakati alitakiwa kuwahi kumsajili mapema kama alikuwa katika mipango yake.

Tano Moyes alitumia mbinu za kijinga wakati wa usajili badala ya kupanga mipango kama alivyofanya mtangulizi wake aliamua kwa makusudi kutumia vyombo vya habari na matokeo yake akakosa target zote muhimu.

Hili la usajili wa kumlaumu ni Edward Woodward aliyerithi mikoba ya David Gill. Huyo bwana alikuwa yupo kwenye kitengo cha masoko cha timu. Na alifanya vizuri sana katika kuitangaza United kibiashara na kuvutia wafadhili na deals nzuri United. Hivyo alivyopewa nafasi ya kuwa mhusika mkuu wa timu kwenye masuala ya usajili, washabiki wakaona dume limelambwa. Na yeye siku za mwanzo tu akajitamba kwamba pesa za kusajili mchezaji yeyote kocha atakayemtaka zipo!! Hivyo Moyes akahakikishiwa uwepo wa pesa za usajili.

Balaa likaja katika kufanya negotiations; ikaonekana bwana Woodward hakuwa na uzoefu na ujanja wa siasa za usajili. Pamoja na ugwiji wake katika masoko, akaonekana si lolote kwenye suala la kununua wachezaji. Pia ndiye yeye aliyekuwa mgumu kutoa pesa kwa kujifanya anaweza kufanya negotiations! Mwishowe negotiations hazifiki kokote na deals kufa.

Katika suala la usajili, wa kupewa lawama zote ni bwana Woodward, yeye ndiye mhusika mkuu.

Mwisho kwa maoni yangu Moyes kashindwa kuwatumia baadhi ya wachezaji ambao naamini wangesaidia sana timu.Mfano mpaka sasa nashindwa kuelewa ni kwanini Zaha hapewi nafasi,ni kwanini Kagawa hapewi nafasi ya kutosha,ni kwanini mpaka sasa mchezaji kama Januzaj hajapewa mkataba au ndiyo yale yale ya Pogba.

Hapa ni kweli kabisa. Zaha, Kagawa na Nani wanapaswa kuchezeshwa kwa sana tu. Ila pengine bado anawasoma wachezaji wake! Lakini katika kuwasoma, kumpa muda mchezaji wa kucheza ni sehemu ya muhimu ya somo.

Mkataba wa Januzaj nasikia makubaliano yanaendelea vizuri...cheki hapa.

www.manutd.com/en/News-And-Features/Football-News/2013/Sep/manchester-united-in-discussions-with-adnan-januzaj-over-new-contract.aspx
 
Mkuu Nzi mbona huna amani? Vipigo ni sehemu ya matokeo ya mpira.

Amani ninayo tele, namshukuru Mungu.

Tatizo uwa mnaonekana kwa msimu tu!! Inakuwa haipendezi; muwe mnakuja kutoa na pongezi, siyo kuja kuleta vijembe tu!
 
Last edited by a moderator:
Ati Ngongo anajitia kurejea thubutu!, wameiba saini yake tu kule ARS tayari kakimbia chijui anataka kwenda kumchalimia Mungiki Brother kule Kibera .... ... Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2438584-185975EA00000578-979_634x635.jpg



article-2438584-1864057B00000578-178_634x431.jpg



Losers ... .... ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee





article-2438584-186783CD00000578-519_636x586.jpg



Mtatotoa tu mwaka huu pamoja na ushoga wenu
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2438584-1859E5E900000578-247_634x425.jpg



Losers ... ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ati Ngongo anajitia kurejea thubutu!, wameiba saini yake tu kule ARS tayari kakimbia chijui anataka kwenda kumchalimia Mungiki Brother kule Kibera .... ... Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



hehehehehe ! mkuu ngongo ajue mtu mzima nguo ikimdondoka huchutama .. hasimami akakimbia....!!....hahaha! nadhani ikifika may atahamia chelsea

 
News alert ... ..

Moya amesema anataka kurudi Everton mambo ya ushoga hayawezi? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
News alert ... ..

Moya amesema anataka kurudi Everton mambo ya ushoga hayawezi? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hahahaha!hata Mzee wa Ngwasuma Fellain el saadat amesema anataka kurudi Fm ACADEMIA,

picha inagoma ikikubali nitawaonyesha kiuno kilivyokuwa kigumu pale Msasani club(OLD TRAFFORD) amesema hawezi kabisa kumwaga mauno
 
hahahaha!hata Mzee wa Ngwasuma Fellain el saadat amesema anataka kurudi Fm ACADEMIA,

picha inagoma ikikubali nitawaonyesha kiuno kilivyokuwa kigumu pale Msasani club(OLD TRAFFORD) amesema hawezi kabisa kumwaga mauno

Hii imeniacha nacheka mpaka basi................teh teh teh............
 
Mercenaries....you are doing a great work in keeping the thread alive and active. Keep it up.
 
Chifu Ngongo ibana kumbe David alikataa kuwabakiza akina Mike!! Nimeona leo kwenye Mwanaspoti; ngoja niangalie authenticity ya hiyo habari.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Nzi hii habari nimeisoma tangu jana ebu pitia the sun utaiona,tena Sir Alex alimshauri lakini akakataa katu katu.

Chifu Ngongo ibana kumbe David alikataa kuwabakiza akina Mike!! Nimeona leo kwenye Mwanaspoti; ngoja niangalie authenticity ya hiyo habari.
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Man United boss David Moyes rejected Sir Alex Ferguson's staff advice, says former coach[/h]30 Sep 2013 12:13The new Old Trafford boss turned down the wishes of his legendary predecessor, according to Eric Steele




Manchester-United-v-West-Bromwich-Albion-Premier-League-2315787.jpg
Rejected: Moyes ignored the pleas of his predecessor not to axe his backroom staff
Getty


Manchester United boss David Moyes rejected advice from Sir Alex Ferguson on who to hire and fire at Old Trafford, according to axed goalkeeping coach Eric Steele.
Steele was let go along with assistant manager Mike Phelan and first-team coach Rene Meulensteen at the end of the season as Moyes made the decision to install his own men.
The former-Everton chief chose to bring Chris Woods, Steve Round and Jimmy Lumsden with him from Goodison Park, while appointing former-Toffee and Red Phil Neville to his first-ever coaching role.
And Steele, who is credited for David De Gea's vast improvement at Old Trafford, has now revealed how Ferguson offered his own guidance before Moyes decided to forge his own path.
Speaking to the United We Stand fanzine he said: "He spoke to me, Mick and Rene. I told him I thought it was a brave decision.
"He listened to the manager's advice, but he wanted to be his own man."
Moyes has suffered a poor start to the season, culminating in Saturday's shock home defeat to West Brom, something Steele believes wouldn't have happened had the old backroom team been kept on.
"I don't blame him for doing what he did. I've been in the game long enough to know how it is.
"But it's ironic, isn't it? You've just been part of a team that has had a great season and won the league. David De Gea's had his best season.
"Does it make sense that you're not retained to continue the good work? Sadly, that's out of my hands."

Mkuu Nzi ebu pitia hii kitu.




Source : DailyMirror.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Nzi hii habari nimeisoma tangu jana ebu pitia the sun utaiona,tena Sir Alex alimshauri lakini akakataa katu katu.

Hapo ni kweli. Ila ni vigumu kumlaumu chifu. David anataka kuwa na legacy yake; hiyo inaweza kuchukua muda au inaweza tokea haraka. Naamini hakupenda kuishi OT katika kivuli cha SAF. Ndiyo maana akataka kuanza kivyake.

Pamoja na madhaifu yake; sisi kama washabiki tumpe muda David. Najua tulizoea kucheka kila mara wakati wa Fergie. Ila shabiki wa kweli ni yule anayekuwa na timu bega kwa bega wakati wa shida. Tumuunge mkono David; mambo yatakaa poa tu chifu.
 
Last edited by a moderator:
Possible lineups

Shakhtar

Pyatov; Srna, Kucher, Shevchuk, Rakitskiy; Hubschman, Teixeira, Costa, Bernard, Luiz Adriano; Taison

Man United

De Gea; Evra, Vidic, Evans, Rafael; Valencia, Carrick, Fellaini, Nani; Rooney, Van Persie

Source

Preview: Shakhtar Donetsk vs. Manchester United - Sports Mole

The squad that trained today at the Aon training complex before flying to Ukraine.

De Gea, Johnstone, Lindegaard; Büttner, Evans, Evra, Ferdinand, Jones, Rafael, Smalling, Vidic; Anderson, Carrick, Cleverley, Fellaini, Giggs, Nani, Valencia, Young; Hernandez, Kagawa, Rooney, van Persie, Welbeck

Manchester United train ahead of Shakhtar Donetsk trip - Official Manchester United Website
 
Possible lineups

Shakhtar

Pyatov; Srna, Kucher, Shevchuk, Rakitskiy; Hubschman, Teixeira, Costa, Bernard, Luiz Adriano; Taison

Man United

De Gea; Evra, Vidic, Evans, Rafael; Valencia, Carrick, Fellaini, Nani; Rooney, Van Persie

Source

Preview: Shakhtar Donetsk vs. Manchester United - Sports Mole

The squad that trained today at the Aon training complex before flying to Ukraine.

De Gea, Johnstone, Lindegaard; Büttner, Evans, Evra, Ferdinand, Jones, Rafael, Smalling, Vidic; Anderson, Carrick, Cleverley, Fellaini, Giggs, Nani, Valencia, Young; Hernandez, Kagawa, Rooney, van Persie, Welbeck

Manchester United train ahead of Shakhtar Donetsk trip - Official Manchester United Website

Babu hakumchuaga huyo dogo Costa ni mzuri sana karibu idara zote ikiwemo mipira iliyokufa
 
Watu wanadhani kazi ya kuziba pengo la Mkongwe ni kazi rahisi tu, Mfano mzuri ni De Gea watu walikuwa wanamponda sana kuwa hafai na hana kiwango cha kuwa Utd lakini leo watu wote kimya. The same kuziba pengo la Ferg si kazi rahisi lazima kocha apate muda wa kuijua timu ndani na nje na aweze kujenga timu katika mfumo anaoutaka

Kwanza niliwaambia ManU it was a big mistake kumuweka Moyes kurithi mikoba ya SAF, aliyefaa kurithi mikoba ya SAF ni Harry Redknap. Moyes yeye kaingia na kuondoa back management karibu yote ya SAF na kuweka yake. Pili alitambua kuwa anahitajika kiungo mahiri kusaidiana na Carrick....mwishowe akishia kuchukua garasha Fellaini......defenders are too soft and sloppy......mwaka huu ManU sidhani hata kwenye top 4 kama mtakuwepo......
 
Back
Top Bottom