Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipande cha mtu
kipindi hicho jose mourinho anampa nafasi timu kubwa pale chelsea, basi vijiweni tukawa tunahoji uhalisia wa umri wake.
huyu fala kweli ana miaka 19
watu wanashiba bwanaaa

1610524215459.png
 
hizi wiki mbili za karibuni umewavuruga sana, mzee wa chimbo upo likizo?
liverpool upo
chelsea upo
arsenal upo

umewafanya wapinzani uchwara wakiongozwa na ollachuga wakukimbie humu ndani
teh teh teh

Yaani mpaka tunaangalia mpira huku tunamwaza yeye tu huyo jamaa.

Kitoabu atakuwa amefurahi sana huu ushindi.
 
inafurahisha sana
lakini wadau mfano wake, ollachuga hawakeri sana kwa sababu maneno yao yana ukomo wa staha tofauti na mabwana wanne wale.

Sure, yuko powa.

Huyu na Ollachuga wanakaribia kufanana kwa kuchangamsha haya majukwaa, wana mipaka kwenye maandishi yao.

Shida iko kwa wale jamaa wengine, mistari miwili inafatana na matusi.
 
Jf imezalisha kwa kasi kubwa sana jamii ya watu tunaodanganya mfumo mzima wa maisha yetu, ila kiupande wa pili ukimuona mdau fulani katika kila sentensi yake ya kujibu hoja inaambatana na matusi basi ujue hiyo ni tabia yake na wala hadanganyi.

jamaa anaonekana naye ni mdau anayeongozwa zaidi na ushabiki wa mpira wa uwanjani kuliko kwenye ubongo ndio maana naye anaingia katika kundi la wanaopenda ligi.

kwa mfano juzi moja niliandika humu ndani, mechi ya liverpool tunakwenda kudhalilishwa kimpira(sijasema kimatokeo) na mechi ya arsenal bwana ole atapoteza tena kwa mara ya tatu dhidi ya arteta.

dah kilichotokezea
hahahahaaaaaaaaa
 
Unatakiwa kutuelewa mkuu, watu wengi kwenye majukwaa haya ya michezo tunatofautiana kama ilivyo kwenye jamii.

Na wengi huwa tunaendeshwa na ushabiki zaidi kwenye hizi mambo za michezo.

Ukimwelewa utajua jinsi ya kumjibu na maisha yanaendelea.
 
upo sahihi sana na ndio maana sikutaka kuendelea na mjadala.
binafsi bado naendelea kumuogopa arteta asiyekuwa na pesa kuliko super frank billionea ila nasikitishwa kuona kuna wadau hawajaliona hilo.
 
Arteta dah! Jamaa atatumia muda kujenga kikosi ila kuna hatari akaja kuwa na timu hatari sana. Nikiwaza ndani ya miaka 3 naona kabisa watasumbua.

Lampard hatadumu sana pale Chelsea, maana tajiri hana muda wa kusubiri hasa ukilinganisha na investment aliyofanya na kocha haeleweki anaipeleka wapi timu.
 
Back
Top Bottom