radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
nafikiri ni david de gea peke yake
=========
nimemuondoa phil jones
Na matic
nafikiri ni david de gea peke yake
=========
nimemuondoa phil jones
VS Miaka 30 bila ubingwaDah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu
Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.
Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.
hata kipindi cha mou tulishaongoza ligiDah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu
Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.
Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.
Manutd has the best squad in Europe in terms of depth, quality, strength and flexibilityUkweli mchungu ni kwamba kwa kikosi hiki bado ni ngumu sana kumaintain nafasi tuliyonayo..wachezaji watachoka sana EUROPA LEAGUE IKIANZA(mechi za katikati ya wiki)
Bado tunahitaji kikosi kipana chenye QUALITY PLAYERS ambao wanaweza kutupa ushindi in Absence of BRUNO maana bila yeye timu haiendi..
KUMBUKA!;WIKI IJAYO TUTAMPIGA LIVERPOOL NYUMBANI KWAKE PALEPALE ANFIELD(How sweet)
GGMU GGMU
Rashford provided a world class cross that led to a goal and Martial almost scored in three chances what else do you need from them.Mmekubali sasa uhuni wa Burnley no tactics at all,yenyewe ni physical na hoofing the ball to the box..siipendi kinoma.
Rashford anachezaga utoto sana at times na kocha ni kama vile ana muogopa..
Martial kipaji kipo ila sijui ana shida gani..yupo kama kalogwa vile.
Diallo aanze kuintrojuziwa mapema labda naye in few months to come ataleta competition.
Manutd has the best squad in Europe in terms of depth, quality, strength and flexibility
Mashabiki wa Liverpool huwa siwaelewi... huwa mnaongea kama vile mmebeba epl mara nyingi au mmekuwa tittle contenders mara nyingi miaka 20 iliyopitaNi wangapi kwenye hiki kikosi wamechukua PL?
Ulimaanisha liability sio.Afadhali ni yellow. Luke Shaw ni reliability. Talles hapaswi kukaa nje.
Hahahahaaa, itabidi muanze kukimbia taratibu, kuna yale macheltako hayawezi kuonekana humu kwa mudaDah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu
Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.
Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.





Hahahahaaa, itabidi muanze kukimbia taratibu, kuna yale macheltako hayawezi kuonekana humu kwa muda![]()
Mashabiki wa Liverpool huwa siwaelewi... huwa mnaongea kama vile mmebeba epl mara nyingi au mmekuwa tittle contenders mara nyingi miaka 20 iliyopita
Bora nyie mashabiki wa Liverpool ila macheltako na ma Arse8 yana roho mby hayatakuja humu mpk tutoke pale juu, tena siku hizi ni heri ya Arse8 kdg lkn sio macheltakoYaani jamaa wamejifungia kwenye threads zao sasa hivi.
Jumapili itatuambia kama ndo tuache kuja kabisa au tuendelee kuja.






Bora nyie mashabiki wa Liverpool ila macheltako na ma Arse8 yana roho mby hayatakuja humu mpk tutoke pale juu, tena siku hizi ni heri ya Arse8 kdg lkn sio macheltako![]()
Na bado hamkufuzu hatua ya makundi. What went wrong?Manutd has the best squad in Europe in terms of depth, quality, strength and flexibility