Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivyo hivyo ulisema kwa mechi zilizopita. Tena ukasema united hawezi kuwa first. Sasay

Hivyo hivyo ulisema kwa mechi zilizopita. Tena ukasema united hawezi kuwa first. Sasanimekuwaje na unasema hawana uwezo?
Alianza

Eveton
Chelsea
Saton
Spurs

Sasa ni man united

Kumbuka hata spurs alikuwa hapo juu na alikutana na liverpool anfield ,uliza baada ya game nini kilitokea

United wanatamani kukaa pale juu ila uwezo hawana

4 days remain united to return back to its postion
 
Kula ugoro kwanza upige chafya, maana ubongo wako utakua na kutu huo.
Unaandika waraka mrefu kumzidi Paolo, alafu ndani ya waraka huo hamna chochote cha maana.
Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd

Harafu wakutane na damu zinazowaka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita

Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa

Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+

Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield

City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
 
Kula ugoro kwanza upige chafya, maana ubongo wako utakua na kutu huo.
Unaandika waraka mrefu kumzidi Paolo, alafu ndani ya waraka huo hamna chochote cha maana.
Unaweza kuta huyu na yeye ni baba kabisa wa familia

Aisee pole sana
 
Usiifananishe Manchester United na hizo taka taka zako.
Mashabiki pinzani duniani kote walikua wanabana bumbu, Manchester United asiongoze ligi, sababu wanajua, Manchester United akiwa juu hashuki, akishuka watoto hawahesabiki.
Alianza

Eveton
Chelsea
Saton
Spurs

Sasa ni man united

Kumbuka hata spurs alikuwa hapo juu na alikutana na liverpool anfield ,uliza baada ya game nini kilitokea

United wanatamani kukaa pale juu ila uwezo hawana

4 days remain united to return back to its postion
 
Alianza

Eveton
Chelsea
Saton
Spurs

Sasa ni man united

Kumbuka hata spurs alikuwa hapo juu na alikutana na liverpool anfield ,uliza baada ya game nini kilitokea

United wanatamani kukaa pale juu ila uwezo hawana

4 days remain united to return back to its postion
Huu mzunguko ..utaenda hivi mwishowe utaishia London tu..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
★Welcome to the red side, Amad Diallo

#GGMU

manutd |
IMG_20210113_194156_418.jpeg
 
Back
Top Bottom