sera yao ya uwekezeji ndio itakayomuangusha pale arsenal, kwa sasa bado hawana mvuto utakaowafanya wasajili wachezaji wa kundi A na vile vile hawana fedha itakayofanya waitumie kama ni chambo ni cha kuteka wachezaji wakubwa pamoja na mawakala mfano wa raiola.Arteta dah! Jamaa atatumia muda kujenga kikosi ila kuna hatari akaja kuwa na timu hatari sana. Nikiwaza ndani ya miaka 3 naona kabisa watasumbua.
sera yao ya uwekezeji ndio itakayomuangusha pale arsenal, kwa sasa bado hawana mvuto utakaowafanya wasajili wachezaji wa kundi A na vile vile hawana fedha itakayofanya waitumie kama ni chambo ni cha kuteka wachezaji wakubwa pamoja na mawakala mfano wa raiola.
wakiwa wanasubiria miaka mengine mitatu huku upande wa pili josep guardiola ameshaachana na ferran torres au ameshamtengeneza ferran torres kuwa class A.
sera ya kukuza vipaji inahitaji ligi yenye ushindani mfano wa bundesliga na si premier league
tunaishi katika dunia tunayopata kushuhudia usajili wa mchezaji wa kikosi cha kwanza cha barcelona na ureno akisajiliwa na wolverhampton.
Povu ruksa..NYUMBU kama NYUMBU AKA PUNDA KAMA PUNDA katika ubora wenu.
Nadhani inawapunguzia maumivu kidogo..NYUMBU kama NYUMBU AKA PUNDA KAMA PUNDA katika ubora wenu.
nafasi anazopoteza antony martial kila wiki ndio nafasi mfano wa hizo anazofungia magoli son heung min
HeeUkiacha mwaka jana mwaka gan liverpool alikaa huko juu kwenye baridi kwa muda mrefu?
Ile assignment imekamilika mkuu... Nakuja Anfield nikiwa very nervous ila naamini kutakuwa na burudani la kutoshaYaani mpaka tunaangalia mpira huku tunamwaza yeye tu huyo jamaa.
Kitoabu atakuwa amefurahi sana huu ushindi.
Karibu Man united mkuu,Kikosi kipo poa.
Good news tunaongoza ligi its a fact!Liverpool wamepumzika muda mrefu sana
Pamoja na yote
United haina uwezo wa kumfunga liverpool ,hakuna njia kabisa
Jiaandaen kwa kipigo fa na epl
Ile assignment imekamilika mkuu... Nakuja Anfield nikiwa very nervous ila naamini kutakuwa na burudani la kutosha
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Martial kasaidia hili goli kufungwa, positioning yake ilimfanya kipa asione intention ya Pogba na asione direction ya mpira, at the same time alikuwa cover shadow kwa defender ambaye alishindwa kwenda kumkaba Pogba ili asimpe space Martial.
Kama ni kuchukua na United ni David De Gea pekee.Ni wangapi kwenye hiki kikosi wamechukua PL?
Hebu tupe timu yenye best squad in Europe in terms of depth and quality ?BEST IN EUROPE!!!
Brother Tusidanganyane..
Timu mpaka leo haina RIGHT WINGER wa kueleweka unasema best in Europe!!?
Kwenye TOP 11 Nzima ya msimamo,Man U ndo tuna defense mbovu cuz tumefungwa goli nyingi kuliko timu 10 nyingine zilizo chini yetu alaf unasema we’re the best in Europe!!?
Kumbuka pia Tumetolewa kizembe kwny UEFA ambalo ndo kombe la best teams in Europe..
UtD tupo vizuri BUT our squad IS NOT THE BEST IN EUROPE..NOT NOW!
Naipenda sn UTD,is my team,lkn tusiipaishe/tusijipe moyo tukasau hali halisi ilivyo..
Kubwa sanaaaa.... Kungekuwa na mashabaki ndio ingekuwa balaa sanaAisee, mmejitahidi sana.
Game itakuwa kubwa sana aisee.
Chelsea ili watufikie wanahitaji kushinda mechi tano.Hahahahaaa, itabidi muanze kukimbia taratibu, kuna yale macheltako hayawezi kuonekana humu kwa muda![]()
Mkuu tuliza mapepe!!Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd
Harafu wakutane na damu zinazowaka waka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita
Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa
Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+
Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield
City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
Hivi unajua Real Madrid ya kina Beckham and Co haikuwahi kufanya chochote UEFA ?Na bado hamkufuzu hatua ya makundi. What went wrong?