Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizi umbwa tukiziambia hazina timu hazitaki kuaamini. Ngoja mpigwe pigwe kwanza


#COYG
#COYG
 
Ball possession of 39% explains why Manutd shots on target were a measly 2.

Both midfielders McTominay and Fred kept giving away balls cheaply and never had a single shot on target.

With such poor midfield stats, Manutd summer priorities ought to be to buy Grealish from Aston Villa or will never win anything tangible.

ManCity will win the league because without Aguero or Jesus they are still a complete team
PSX_20210107_095107.jpg
PSX_20210107_095127.jpg
 
Ball possession of 39% explains why Manutd shots on target were a measly 2.

Both midfielders McTominay and Fred kept giving away balls cheaply and never had a single shot on target.

With such poor midfield stats, Manutd summer priorities ought to be to buy Grealish from Aston Villa or will never win anything tangible.

ManCity will win the league because without Aguero or Jesus they are still a complete teamView attachment 1670693View attachment 1670694
Hata man u hawakuwa na shogacavani
 
Naona umekiri mwenyewe mmezoea ushindi wa penalty
Manchester united wanaweza kubeba makombe chini ya ole kama atatafuta washambuliaji wa 3 mpira anaofundisha si mbaya shida ni umaliziaji bruno ana goli nyingi kuliko washambuliaji wake

Kwa mfano mtu kama martial anavaa jez na 9 anacheza kama kipa bota awe anadaka tu leo mara 3 anaomba penat wakat uwezo wa kufunga alikuwa nao
 
Mkuu tangu umezaliwa leo ndio umeongea point.
Kuhusu Grealish hata mimi sijui uongozi umeona nini juu yake, maana nafasi anayo cheza kuna watu wawili (Fernandez, Van de Beek) wanafanya vizuri katika nafasi hiyo.

Nahisi anakuja kuongeza lundo la wachezaji wasio na tija tu.

Pesa anayo taka kusajiliwa ni bora tuzielekeze kwa Halland, maana Cavani anaelekea ukingoni.
Mfano kweli mkamsajili Grealish kama mnavyotaka halafu atacheza wapi?

Kuna wachezaji wako vizuri wakiwa timu A as huko wanakuwa treated as gods. Kila anayepata mpira anampa yeye, yeye anaamua uende wapi. Na nyinyi mtu huyo mnaye tayari, Fernandes, na wanacheza namba moja.

Ikatokea Grealish kaja maana yake aanze kupambania namba na Fernandes. Jambo gumu ukizingatia huko alipotoka yeye ndiye mungu wao, na hata akipambania am sure atashindwa as Fernandes ana stats nzuri kumzidi.

So sioni huu uhamisho ukiwezekana. Labda kama atakuja kwa kuhitaji pension ya kuzeekea. Ni kama Song alivyoenda Barcelona kugombea namba na Busquets, au Donnarumma anavyohusishwa na chelsea.
 
Shabiki wa aseno (mfano wako) hamtakiwi kutamba humu, yani unatakiwa usome comment na ku like ama kupita tu.

Timu yako ipo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi.
Michuano tuliyo tolewa, wewe ulisha tolewa kitambo huko, sasa huo ujasili wa kuanza kuponda unautoa wapi, kama sio uchizi?

Ngoja 17 tukifungwa njoo, hata ukitaka kunya humu, akuna atakae kuzuia, lakini sio leo.
Hizi umbwa tukiziambia hazina timu hazitaki kuaamini. Ngoja mpigwe pigwe kwanza


#COYG
#COYG
 
Back
Top Bottom