Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mara ya kwanza sio kosa ...kwenye football hata mara mbili pia si kosa...

Mara tatu ???

Last season semi final mbili OUT!

Hawa wazungu si ndio wana akili hawa? wameunda ndege na magari ?
Wame tutawala !?
Huyu Ole ni mzungu wawapi huyu hajifunzi kutokana na makosa yake!..

"keeping on solving the same problem with the same solution is madness"

Huwez kumfunga city ya Pep Guadiola kwa 4-4-2 diamond wala 4-3-3 yoyoteee hata upewe Xavi na iniesta kwenye ubora wao

Frank lampard ametoka kuhukumiwa na Pep juzi tu kwa kutaka kushandana kumiliki mpira kwa mfumo wa 4-3-3
...siraha pekee ya kumuua city ni speed ..
Mechi zote ole amepata matokeo vs Pep ni kwa speed ya wacheji ..inakuaje sasa leo anaanza ku shindana na Pep kati kati ya uwanja ...?

Hata upewe vioungo wote duniani Pep apewe wakina Fei toto sio wa kushindana nae Possesion na football kati kati ..

Ole kapata matokeo vs Leiceister city kwa kutumia 442 diamond kwa tabu sana kwa akili ya kawaida tu pep aliitazama ile mechi na kujua wapi atapitia na mapungufu yapi atumie kuwin game ndio maana kaanza na Fernandinhol badala ya Rodri ili Bruno na Pogba wakose freedom ...

Ukiacha na ukocha Ole hata Common sense yake inatia sana mashaka ..

Ni kuzakiwa kwake ulaya ulegend na Exposure tuuh ila hana alicho mzidi Dairagije ...

#ggmu
 
Kutolewa carabao siyo mwisho wa matumain ya kushinda mechi zilizopo mbele ila sijapenda Kocha kutofanya Sub za mapema rashfod na martial ni walaini na hawawez tumia nafasi vizuri nilitegemea amtoe mmoja hasa martial mapema tu lkn approach ya Kocha ni martial atafute penalty hapo kazingua mno ..

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha bongo bana baada ya kufungwa ishakuwa mbov kabla ya hii mech hujui kama tulishafungwa na timu zingine? City alipigwa na leicester city 5 tena kwake ni timu mbovu?
Kwahiyo mkuu unaona timu yako imekamilika? hamna mfumo wakucheza kama timu zaidi ya kutegemea mchezaji mmoja mmoja huoni mshaaza kumkumbuka cavani nyie ni wepesi sana
 
Leo man u kushinda ipo njee kabisa mana tupo vizuri kukosa tofauti ma city wachezaji wengi wanacovid19 so akija kwa mfumo alio kuja nao Chelsea atapasuka vibaya sana
Kweli kabisa ngoja saa 5 ifike
 
Ila magwaya ameshindwa kuprove thamani yake..hazungumziwi sana kwasababu ni muingereza ila kiukweli ni beki wa kawaida sana..sanaa
Wakati anakuja mlimuita Ramos wa kiingereza kiko wapi Bora hata serge Pascal wawa sultane.
 
.
JamiiForums389483892.jpg
 
Back
Top Bottom