Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha ujinga dogo.
Sisi tuko juu ya msimamo wa ligi, acha tufanye yetu.
Hatuwezi kutokwa na kijasho cha ulimi kisa kombe la mbuzi na mchele kilo 50.

Tarehe 17 nafuta makosa.
Leta msimamo kama mnaongoza mimi shoga.

Kama hamuongozi wewe unaliwa
 
We uliona tumeenda kukata vitunguu pale?
Bahati ilikua kwao, wacha wakacheze fainali.
Ila timu yangu iko vizuri na ilicheza vizuri tu jana, sema mpira unamatokeo 3.

Ukitaka nikuthibitishie ninacho sema, ngoja tarehe 17.
Hivi kwani mlikuwa na matumaini ya kumfunga City kwenye mitoano?
 
Mkuu Grealish ni mzuri, tena sana, lakini sio suruhu ya matatizo yetu.
Timu yetu ina pwaya mbele tu.
Mchezaji pekee ambaye namuhusudu aje ni Halland, huyu ndio muarubaini wa tatizo letu.
Dah huyo dogo mm nilishakata tamaa ya kumpata mana hawamuongelei kabisa, eti wanamuongelea Sancho, what a joke!
 
Niliwe me samaki?
We, hujui kua me nina mchezo mmoja mkononi?
Tena hata huyo Man shiti ashinde game zake zote mbili hanifikii.

Kijana, kaoshe vyombo kwanza.
Leta msimamo kama mnaongoza mimi shoga.

Kama hamuongozi wewe unaliwa
 
Hii timu ilishajifia kitambo sana

Ole ana muda gan pale OT, na fungu alilopewa na usajiri.
Lakini ata kombe la mapinduzi hana.

Kapumbavu kazi yake kuangalia video za VAR tu,

Arteta ana vikombe viwili, na anachofanya kinaoneka
Lampard kama bahari, muda mwingine akili anazo muda mwingine daudi bashite

Oleguna ni first class 0+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndio kilaza kabisa.
Ateta gani anaetaka kuishusha timu daraja?
 
Mkuu Grealish ni mzuri, tena sana, lakini sio suruhu ya matatizo yetu.
Timu yetu ina pwaya mbele tu.
Mchezaji pekee ambaye namuhusudu aje ni Halland, huyu ndio muarubaini wa tatizo letu.
Kama midfielders wachovu atafanya nini?
 
City anapigwa. Ngoja nikupe formula moja ya haraka kujua matokeo(japo haifanyi kazi kwa 100%).

Angalia matokeo mechi za mwisho kwa timu zinazokwenda kukutana.

Mechi za mwisho kwa City na United
Manchester United 2 - 1 Aston Villa
Chelsea 1 - 3 Manchester City.

Mwenye goal difference kubwa Kati ya city na United katika mechi hizo ni City, hivyo City atapigigwa.

Kama huamini, fukua hii post baada ya mechi.
Kweli mkuu city kapigwa jana
 
Back
Top Bottom