Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbaya zaidi et ni title contender

Achen masiala wakuu, msije kuongea mbele ya wanaume hivo

Timu imeshajifia, bado kuzikwa

Then mnataka mkamfunge Liverpool anfied

Endeleen kuleta vichekesho
 
Kila mara watu wanamlaumu Pogba tu lkn leo kapiga pass za mwisho kwa hao rubi wetu akiwamo FERNANDES, cha ajabu shoot zote za Bruno zilikuwa hazieleweki pasa nazo hazifiki!!! Ila wa kulaumiwa Pogba ty
 
Kuna kauli uliitoa kuwa Manchester City haiwezi kumfunga Manchester United vipi tunaitafuta hiyo kauli au tunaacha ibaki kama ulivyotamka hapo awali?
United matumizi yake ya usajili hayaachani mbali na city ila hajafanikiwa kua na kiwango kinachokaribiana na city.

City ataendelea kuikanda united
 
Mbaya zaidi et ni title contender

Achen masiala wakuu, msije kuongea mbele ya wanaume hivo

Timu imeshajifia, bado kuzikwa

Then mnataka mkamfunge Liverpool anfied

Endeleen kuleta vichekesho

Liverpool kabeba epl bila fa cup na carabao pep tukombe hutu tupo damuni toka buyern kule uefa anapigwa huwa hambulii
 
Duh!City sasa hv OT ni kama uwanja wao wa nyumbani vile wanajipigia tu..Henderson ni kipa mzuri lkn naona carrier yake inaenda kufia OT(so sad)..watu ambao huwa wanasema Maguire ni mzigo kwa lendolof huwa natamani sana nikione hicho wanachokiona kwa lendolof..Leo tangu mpira unaanza ulikuwa unaona pep yuko desperate kupata matokeo natamani sana Solskjaer ajifunze hicho kutoka kwa jamaa sio mpaka dk za mwisho ndo anazinduka..

Kabla ya mech hii kapigwa kwake mbili na ot yaani alipigwa mech tatu strait
 
Nafikiri akili imeshawakaa sawa sasa maana mlisha sahau kama timu yenu ni mbovu
 
Nafikiri akili imeshawakaa sawa sasa maana mlisha sahau kama timu yenu ni mbovu

Hahaha bongo bana baada ya kufungwa ishakuwa mbov kabla ya hii mech hujui kama tulishafungwa na timu zingine? City alipigwa na leicester city 5 tena kwake ni timu mbovu?
 
Manchester united wanaweza kubeba makombe chini ya ole kama atatafuta washambuliaji wa 3 mpira anaofundisha si mbaya shida ni umaliziaji bruno ana goli nyingi kuliko washambuliaji wake

Kwa mfano mtu kama martial anavaa jez na 9 anacheza kama kipa bota awe anadaka tu leo mara 3 anaomba penat wakat uwezo wa kufunga alikuwa nao
Kocha wako aliondoa Lukaku akaleta Ighalo! Hata apewe trio ya Neimar, Aguero, na Mbappe bado hatashinda mechi muhimu zinazohitaji mbinu.
 
Back
Top Bottom