Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Bruno is an exquisite penalty finisher
We nae chuki imekuzidi ushawahi ona wapi mchezaji anafikia peak akiwa na 23yrs.Nafikiri ndiyo kamaliza. Kama ana ukali uliobaki basi hautazidi misimu miwili. Alioanza nao kama wakina Mbappe tusemeje? Au Haaland
Kwahiyo kitakwimu peak inafikiwa umri gani?We nae chuki imekuzidi ushawahi ona wapi mchezaji anafikia peak akiwa na 23yrs.
Unajua maana ya never ever?Man u hawezi kuwa bingwa Never Ever
Mkuu Baba Chicco (ambaye naamini ni daemusin aliyejigeuza jina),nakubaliana na wewe kuhusu ubora wa grealish lakini je atatoa huduma tuliyoihitaji toka kwa sancho kama wideman upande wa kulia? Maana kwa mechi ya jana nilimuona kama namba 10 (ya bruno) zaidi kuliko mtu wa pembeniile nguvu tulioitumia kupambana na michael zorc kwa ajili ya usajili wa sancho ni bora tuielekeze kwa grealish dirisha lijalo
Tumuuze pogba kumpisha grealishNa pogba ndani mbona mnapigika sasa solskjaer alikuwa akimtaka grealish na sancho
Huyu Grealish kila walichofanya Villa yeye ndio bwana mipango.
Kipaji sana huyu jamaa.. inabidi tumchukue tusije kumkosa kama tulivyoshindwa kwa Sadio Mane.
Man Utd sio kuchukua ubingwa tu
Bad News nikuwa
Haina uwezo hata wa kukaa top of the table
Ni swala la muda tu
BBC ,Wale mtakao kosa fursa ya kwenda vibanda umiza kuna hii App ipo playstore inaonesha mechi Live. Wastani wa MB 570
We will keep the red flags flying high....We are the famous Man UnitedView attachment 1664684
Anafikiri km maandazi dukani😀Kupata wachezaji kama Jack January sio kitoto
Yaah nishapiga vyombo vyangu hapa namsubili Dada yako ajee mkuuUmeshaosha vyombo lakini?