Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,312
Ndoto za alinacha hizo.
Liver kuku nafasi yake kwa mwaka huu ni ya 3.
Liver kuku nafasi yake kwa mwaka huu ni ya 3.
Shukrani mkuu, baraka kwako pia.
Kuhusu Liverpool, tulianza 2020 tukiwa tunaongoza ligi, tukamaliza kwa ubingwa.
Tumeanza 2021 tukiwa tunaongoza, tutamaliza tukiwa mabingwa.
