mizuno
Senior Member
- Mar 12, 2014
- 143
- 188
dah kuna muda tunamuonea sana Ole kwa kuamini kila sub anakosea japo kuna wakati huwa anakosea kweli,muda ambao alimuingiza James ilikua tayari tunaongoza kwhy aliamua kulinda goli lkn pia kwa kuweka mtego wa kupata goli lingine na sio kupaki bus kama anavyofanyaga Mou.Duh! jasho limetutoka kwa ushindi huu anae jua OGS ile sub ya Bruno na kumuacha ndani Fred na mac wakirandaranda mule ndani naomba anieleze kitaalam